big up wanafunzi mnaotambua haki zenu. hapa bongo bila kukomaa hakuna haki yako. jipangeni vizuri haki zenu mtazipata. historia inaonyesha hakuna posho iliyoongezwa bila wanafunzi kuandamana hivyo kazi kwenu.
wanafunzi wengi wameondoka asubuhi kuelekea ikulu , wamewapitia ardhi n IfM nadhani na wenyewe watapitiwa , waliobaki chuo ni wanafunzi wachache na wafanyakazi