MAANDAMANO LAMADI.

MAANDAMANO LAMADI.

Kwenye nchi inayoheshimu utawala wa sheria matukio ya kutekana hayavumiliki.
Kama serikali haionyeshi kushtushwa na hilo wananchi ni lazima wapaze sauti
 
Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Waache kuandamana kwani serikali yao sikivu ns inalifanyia kazi hilo, hakuna ambaye hatapatikana jeshi letu lina wataalamu wa kutambua walipofichwa.
 
Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Inawezekana kabisa awamu hii wameamua kurasimisha jela za siri zenye watesaji
Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app

View: https://x.com/marwason57/status/1826236361168617704?t=RYlkZXZZm1u46ogGWUQriA&s=19
 
Unajua hii inshu imekua kubwa maeneo meng San hap Tz japo sehem nyngi hazisikiki ila vitu vinavyochangia ama kusababisha ni ushirikina na hizi siasa
 
Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Nasikia kuna mtu kapigwa risasi
 
Mbona mkuu umepuyanga na uzi wako unaeleza kisicho sahihii.

Jf inataka watu makini sasa kuleta uzi wa uongo uongo unafanya jf ionekane takataka Moderator hebu upitieni huu uzi muone kama unaendana na kilichotokea leo then mchukue hatua. La sivyo kutakuwa na upotoshwaji mkubwa.
Issue ya watoto kupotea inageuzwa sasa dhamira sijui ni ipi.
Jf tumezoea kupata habari za uhakika
 
Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Wananchi washaamka
 
Semeni wamepita wangapi?
 
Wakombozi wa nchi au wakombozi wa Acacia?

Tutashitakiwa MIGA
Hongera sana watu wa Simiyu sikutegemea kama kungetoka mwamko wowote huko kumbe ninyi ni ngome imara ya CHADEMA, nitamjulisha Mbowe na Lissu wawekeze nguvu zaidi kanda ya ziwa kuna matumaini makubwa.
 
Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kwenye List ya TLS kanda ya ziwa ilikuwa inaongoza.

Shinyanga, Simiyu na Mwanza
 
Back
Top Bottom