Maandamano kupinga posho za Wabunge

Kwa wale mnaokataamaandamano mtuambie njia mbadala.
Tatizo la Watanzania a.k.a. Wabongo ni kuwa wamejaa woga wakutupwa. Pengine hii imechangiwa sana na nchi hii kupata UHURU wa kupewa kwenyekisahani. Hili limetufanya Wabongo kubweteka na kudhani kuwa kila kitu kinakujakwa kupewa tu kama zawadi! Rais mstaafu Mwinyi alikuwa na msemo wa kilazama na kitabu chake. CCM bado wanafikiri Watanzania ni wale wa enzi zaujima.
Kwa sasa tunatakiwa tubadilikena tutoke hapo. Vinginevyo hawa MAFISADI wa Chama Cha Mafisadi wataendeleakutunyanyasa Wabongo kwa karne na karne.
Haiwezekani,haikubaliki na haingii akilini kwamba hapa kuna mtu anaishichini ya dolari 1(kwa maana ya less than 1,500/=) kwa siku aridhike ilhali kuna Mijitu(kwa maana ya WABUNGE NA MAFISADI) inakulaTshs.330,000/= kwa siku.

Tunasema KEKI ya Taifa iliyopo lazima tuigawane kwauwiano unaokubalika. Vinginevyo patachimbika hapa Bongo muda si mrefu ujao.

 
Bora kuwa kiwete wa miguu kuliko kuwa Kiwete wa Akili, Kikwete nahisi Hayupo Sawasawa kichwani, Anabariki ongezeko la posho za wabunge ambao hata kabla ya posho mishahara na marupurupu yao ni kufuru kwa nchi maskini kama Tz, Serikali imeonyesha Jeuri kubwa kwa Umma wa watanzania kwa kuwakatalia madaktari wetu ongezeko la mshahara na kujiongezea wao, Ubinafsi uliokubuhu, I HATE KIKWETE WITH ALL MY STRENGTH, kosa kubwa tulilolifanya watanzania ni kumchagua huyu Muuza sura kuwa Rais, Ni mzigo kwa taifa anatu cost, i wish we have an immediete way to put to an end all this Shits, plus Serikali yake ya kishkaji
 
Suala lililo wazi ni kuwa ongezeko hili ni rushwa ya serikali kwa wabunge, subirini muone mijadala itakavyoendeshwa.
 
Mkuu nadhani ni rahisi tu, wala hatuhitaji kujikusanya, tuwaunge mkono Madaktari tu inatosha....jana nilisema siku iliyokuwa inasubiliwa Tanzania imefika ni jana. Huu mgomo wa Madaktari utasambaa ktk sector zote, just take my words, Hakuna aliye salama ktk hili.
 
Kuongoza taifa liliogawanyika nikama kumsukuma mlevi, wewe ukiandamana utambiwa CDM,TLP. NCCR,CCM na cuf wanakuponda, madaktari wakigoma walimu haiwahusu, walimu wakigoma wazazi wa wanafunzi wanaofundishwa na walimu haiwahusu, TAKUKURU, TRA, TANAPA, BUNGE na wafanyakazi wa NGOs za kimataifa migomo au mandamano kwao hayahusu (WAKO PAZURI). Nchi isiyo na umoja unweza kuwabuluza upendavyo!
 
Nawatia moyo ndugu zangu tusikate tamaa kihivyo,bado matumaini yapo kama tutaamua
kuandamana,hata nchi za wenzwtu walianza hivyo hatimaye wakafika walipofikia,tunawezaje kuishi nchi
Rais ana kichwa cha NAZI waziri mkuu kichwa cha NYANYA,halafu tunajidanganya tuna amani;Amani IPI!!!
Katika hali ngumu hii ya maisha ya watanzania na ndugu zetu wanakufa bila msaada mahospitalini,halafu hawa
mafisadi wanapeana rushwa huko bungeni! kweli iiii, iiiiiii hasira zimezidi nimeamua kulia tu sasa;;nitarudi.......
 
Tuko milion 40..kundi la watu wachache kama 350 ndo wanaamua wanavyotaka.....kuna kila sababu ya kufanya jambo zito hadi mataifa washangae
 
tunataka maandamano ya watanzania siyo ya chama fulani maana wote ni majambazi tu.TUMECHOKA WIZI WENU wanasiasa
 
Maandamano yaratibiwe na wanaharakati lakini yakiitishwa na Chadema mimi binafsi sitaenda na watu wengi hawataenda! Maandamano yasihusiongozwe na Chama fulani bali Wanaharakati wahamasishe Watanzania wote kwa itikadi zao tofauti! Binafi huwa najisikia kutapika nikiona yale manguo ya Chadema,nashauri wanaharakati walianzishe tuingie watanzania wote
 
Issue iko kwenye kibali maana utaambiwa Al shababy wako Tz.
Nadhani kuna haja hawa Al sha waje kweli walipue baadhi ya maeneo maana daily wanasingiziwa tuu
 
Maandamano yaratibiwe na wanaharakati lakini yakiitishwa na Chadema mimi binafsi sitaenda na watu wengi hawataenda! Maandamano yasihusiongozwe na Chama fulani bali Wanaharakati wahamasishe Watanzania wote kwa itikadi zao tofauti! Binafi huwa najisikia kutapika nikiona yale manguo ya Chadema,nashauri wanaharakati walianzishe tuingie watanzania wote
unamchukia hata anayekutetea!!
 
Back
Top Bottom