Maandamano au vurugu?

Maandamano au vurugu?

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,485
Reaction score
3,224
Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
 
unge shuhudia jinsi askari uchwara walivyo kuwa waki tekeleza mauaji, basi unge ungana na watanzania wenzio kukemea ushenzi ulio fanyika.

under 20 wengi wame kwenda na maji kama vile ni game au trailer ya horror movie.

halafu eti duka?, haya tudanganye uli acha bilioni ofisini, roll up your sleeve and move your weird a.ss mf.
 
Punguza mihemuko
Hata mimi ni mhanga wa mapambano na masoja kitaa
 
Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
Aliyeandama siye aliyevunja duka na kupora, na aliyepora siye aliyeandamana
 
Hakuna maandano ni vibaka na wahuni waliamua kufanya operation ya kuiba na kuharibu mali za watu, walistahili kifo, ila tunasikitika kuna raia wema pia waliwawa kwasababu ya hao vibaka.
 
Kiduka chako kuvunjwa kisa uchawa ndio unakuja kulilia humu
 
Hakuna maandano ni vibaka na wahuni waliamua kufanya operation ya kuiba na kuharibu mali za watu, walistahili kifo, ila tunasikitika kuna raia wema pia waliwawa kwasababu ya hao vibaka.
Kwani kibaka au mwizi anarusiwa kuuwawa! kikatili hivi au anakamatwa anapelekwa kwenye vyombo vya kisheria?hakuna Sheria hapa Tanzania inaruhusu mwizi kuuwawa adharani,huu ni uhalifu kama uhalifu mwingine, lazima Serikali ya Samia ijibu.Uwezi linganisha uhai na vibanda vilivyoteketezwa au kuporwa.
 
Hayo ndio maandamano tofautisha maandamano na riadha na kwa taarifa yako maandamano ya africa ni die or alive, gain or loose
 
Ndiyo kibaka anaefanya wizi na uharibifu wa mali anastahili kuuwawa kikatili sana.
 
Kwenye wengi kuna mengi ila siku nyingine tupunguze uporaji

Ila wa kukatwa vidole wakatwe tu
 
Ndiyo kibaka anaefanya wizi na uharibifu wa mali anastahili kuuwawa kikatili sana.
Vipi watanzania ni waoga mbona husemi hii kauli tena😂😂 😂😂😂
 
Hakuna maandano ni vibaka na wahuni waliamua kufanya operation ya kuiba na kuharibu mali za watu, walistahili kifo, ila tunasikitika kuna raia wema pia waliwawa kwasababu ya hao vibaka.
Asante tajiri wa fikra
 
Hayo ndio maandamano tofautisha maandamano na riadha na kwa taarifa yako maandamano ya africa ni die or alive, gain or loose

sasa kwanini munatilisha huruma baada ya hayo maandamano kama mulijua mapema result zake?
 
Back
Top Bottom