Hizi mambo wabongo tunacomplicate tu,hiyo ni nyama kama nyngine zilivyo,nimewahi ishi na hawa wachina miaka 3,kiukwel kwenye upande wa lishe wanajal sana, kwao mpaka sasa watu wanafikisha miaka90+,wanakula sana natural,tazama sisi wa kuchagua chagua!!iko poa binafs nishakula tena zaid ya mbwa!!