Maandalizi ya ukuta yanaendelea

Maandalizi ya ukuta yanaendelea

ukawa2020

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2016
Posts
339
Reaction score
1,315
Kuelekea tsrehe 1/9 nchi nzima itapepea bendera za CHADEMA watanzania tulinde uluta wetu
IMG-20160818-WA0098.jpg

IMG-20160818-WA0099.jpg
 
hahahaah!!!hii nimeanza kuiona huko facebook.Ni hatari sana,hadi hiyo miti hapo chini yote iishe,nchi yote itakuwa imetapakaa bendera.
 
mnavyojiandaa,na police wanajiandaa,ngoja mvunje taya,kwa jambo lisilo na tija
 
Wajanja huishia kupost tu humu mitandaoni,lakini wasioelewa wanaingia front...usawa huu familia ni bora kuliko haya mambo..
 
Saaafii ila mkumbuke kuwa huyu hajaribiwi wala hataniwi sasa tunawakaribisha
 
Back
Top Bottom