Nina yakini pasi na shaka wewe umekulia katika mazingira duni mno. Nina hakika ulienda shule na ndala huku makalio yakiwa wazi kupelekea ulimbukeni wako ulio nao sasa wa kumiliki nguo na kuwa na mshawasha wa kuzivaa hata kama iwe ni msibani.
Wewe ni limbukeni.