Maandalizi ya mechi ya leo usiku

Itakuwa saa ngapi Mkuu? Na ni mechi ya ligi ama kombe la malkia?
 
kumbe unakunyaga

kama nakuona vile
mchanganyiko wa vilevi vyote hivyo usipojikunyea wewe mgonjwa. Wakati unasukuma goli unashtuka umesukuma na choo, chezea mchanganyiko wa mrungi konyagi na bia, alafu unasukutua na bangi kidogo, kama ni usiku utaona nyota zote ziko karibu na kichwa chako, unatembea umeinama ili usizigonge
 
ukimaliza hizo ata hilo goli sidhani kama utaliona... utapiga mipira nje tu!!!
 
vyote hivyo ni vyanzo vya kuwa na kia la kondoo...
 
Na huyo unaoenda kumfunga kazi anayo yani harufu ya mipombe bado sigara na mdomo mirungi?Uwiii kuna watu wana kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…