donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Aisee hiyo kitu haiingiagi mdomoni kwengu,yai la kisasa/mtoto bila baba?hunilishi!
Ndio mkuuMkuu we huwa unajipikia mwenyewe eenh
Nkipata nafasi ya kuvitafuna usijal mkuuuzuri vya kwetu mikoani hutuwekei. tunakosa la kuchangia kabisaaa!