Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
|
Andaa meza tayari kwa kula ni chakula kitamu sana pembeni ukiwa na juice,chai au maji ya kunywa pamoja na matunda kama avocado mlo unakuwa umekamilika farkhina upo mama mkwe? |
Haya na wewe ukakarangize bwana mkubwa!!Hongera MziziMkavu kumbe nawe jikoni wamo eeh!!!! Nasubiri mapishi ya ndizi mzuzu za nazi na Tambi za kukaanga
Haya na wewe ukakarangize bwana mkubwa!!
Huyo BAK anakarangiza balaa anajua kupika hasa (kama nimeonja vile) hadi wajirani nyumba ya saba wanapata habari wanajishibia hasa ila haleti recipe huyo mchoyo huyo sijapata kuona...siku akileta recipe naja huko kwako kwa miguu tena winter na ndala na kigauni cha summer tu lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hahahahahahaha lol!!!!!! karibu sana karibu mpaka ndani
Heee sio kwako ivoo kwa gorgeousmimi nije kwako wataka nipigisha makofi na mwenye mali kwanza kupigana siwezi ndo kabisaaa watu wakali na vyao yakheee mie sisibutuuuu alafu mara kwenye geti pana dog kimo kama cha ng'ombe ndama aku mwenzangu.......
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Andaa meza tayari kwa kula ni chakula kitamu sana pembeni ukiwa na juice,chai au maji ya kunywa pamoja na matunda kama avocado mlo unakuwa umekamilika farkhina upo mama mkwe?