Maandalizi ya kuchomwa moto.

Maandalizi ya kuchomwa moto.

...mbona hana mchuzi mwekundu hata kidogo, nadhani hawa walikuwa wanacheza movie tu, mwizi afikie hatua hiyo atulie namna hiii....?
 
Laiti kama mafisadi tungewachukia zaidi ya huyu aliyejichokea (hopeless)!!!!, tuwahurumie hawa na tuwachukie hawa mafisadi toka chama na serikali wanaotutesa.
 
Back
Top Bottom