No comment nimeamka na stress ming sana wife ananiamsha najua labda ameshinda biko au tatu mzuka
Eti oooh gas imeisha na ukiangalia mfukoni Nina 7200
Nataman niende hata kazin nikapitezee huko muda japo nipo likizo
Na nyinyi tena mnaniletea story ya bao moja Mara na huyu sijui anataja kunvunja miguu mkewee aaarh