Maandalizi na changamoto za usaili (interview).

Pconnect

Member
May 4, 2014
5
82
Habari zenu wadau,

Kutokana na changamoto za maisha suala la kujiajiri au kuajiriwa ni la mtu binafsi, hivyo kwa wale waliochagua kusubiri kuajiriwa mara nyingi suala la usaili (interview) halikwepeki, kama umewahi kupitia usaili huenda ulikumbana na baadhi ya changamoto na ulijifunza jambo kwa faida ya wahitimu/watafuta ajira, tafadhali ningeomba mtoe uzoefu wenu linapokuja suala la usaili (interview).

Je ulikosea wapi? Maandalizi uliyafanya vipi? Kwanini hukuitwa kazini? Ulidanganya wapi? Ulifanya kituko gani? Je kipi akifanye kipi asikifanye? (Share your experience)

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom