Natumai hamjambo wakuu
Wakuu kama una watoto wa kike basi pita hapa panaweza kukufaa, binti yangu alipotimiza miaka 6 nilitafakari nifanye kitu gani kumnusuru na mabaharia atakapobalehe ili atimize ndoto zake.
Nilikutana na mtaalam wa Saikolojia akanipa mbinu zenye kufaa, alinambia "binadamu huathiriwa na malisho ya mafunzo anayopata, na hayo ndio huijenga akili yake na kuipa mtizamo huo" akanambia ndo maana wazee wetu walifanikiwa kuwadhibiti watoto wakike.
Akanishauri niandae kijitabu kidogo nitakachotumia kama mtaala wa malezi kwa binti yangu kumjengea dhana ya kumuogopa mwanaume ili atimize ndoto zake
Niliandaa kijitabu kinachomzungumzia mwanaume kama adui wa ndoto za mtoto wakike pia majuto ya walioharibiwa ndoto zao na wanaume na maisha magumu wanayopitia.
Inshort kiasi fulani nimefanikiwa japo sijui ya mbeleni coz mabaharia nao kwa kubadili mbinu hawajambo.