maandaliz kabambe ya ushindi wa Charming lady

maandaliz kabambe ya ushindi wa Charming lady

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
524
haya haya kama kawa kama ida yan hapa ndo tunajiandaaa maaana only few days remain my sis my shost cl kutwaa taji la miss chit chat . Here with our dad our special and responsible one prepare for the victory so kama poll inavoonesha we are leading so guys keep on voting vote for Charming lady my official sis and my beeeest friend ever

Mipango inazidi kupangwa so come this way jaman msije seema oooh mbona nasty anachanganya lugha hizi ni hisia tuu haswa ukizingatia baba yetu watu8 anafanya kila juhudi kutimiza ndoto za sisi wana wake[ mabinti zake]

Wenu mtoto mpya wa watu8 na nduguye cl wa ukweee
BeibeNasty joooo!!!!
 
Thanks daughter for showing support...tuendelee na mapambano mpaka dakika ya mwisho ili tushinde ushindi wa mwaka.
Pamoja tunaweza!
 
Aiseee mi naona charminglady ana bonge la family yaani hayo makampeni anayofanyiwa balaa.
Nakuonea hadi wivu naomba nijiunge na familia yenu mi hata umama wa kambo unanitosha jamani.
Please!!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani ni furaha iliyojeeeeeer!!!!!!!!!!!!!
WanaJF wa Rock City na viunga vyake tafadhalini tujumuike mnamo tarehe 1 kusherehekea ushindi....

Wapi kwanza @C6, Chimbuvu, mgeni wetu Nicas Mtei, mama ya ukweee Elizabeth Dominic, Evelyn Salt??????

Bila kumsahau my new sis beibe nasty tafadhalini msiniangushe..... Karibuni nyoote!!!!

Wale wengine ambao sijawataja lakini wapo The Rock City karibuniiiiiiii
 
Shaka ondoa mamito.... Karibu katika familia ya Mr. watu8 na Mrs. wake measkron... Unaweza kuwa cousin sis wetu......
 
Last edited by a moderator:
5082024413_bb54817056_z.jpg
 
Jamani ni furaha iliyojeeeeeer!!!!!!!!!!!!!
WanaJF wa Rock City na viunga vyake tafadhalini tujumuike mnamo tarehe 1 kusherehekea ushindi....

Wapi kwanza @C6, Chimbuvu, mgeni wetu Nicas Mtei, mama ya ukweee Elizabeth Dominic, Evelyn Salt??????

Bila kumsahau my new sis beibe nasty tafadhalini msiniangushe..... Karibuni nyoote!!!!

Wale wengine ambao sijawataja lakini wapo The Rock City karibuniiiiiiii

Halaaaa hilo nalo nilakudiscuss yan kwanza tarehe 31 inabidi tukeshe jaman mi naelewa tarehe moja si ikifika sasita na dakika mojaa basi mr. Lundenga atatupa matokeo yetuuu sie sisi ndo si wengne Ma...si

Amu ts okey u cn b part of our amazing family dadii njoo umkubalie amuu baathii
 
Last edited by a moderator:
Dear daughters;
charminglady na beibe nasty najua tumefika hatua nzuri ila nawaomba tuweni na subira na tusibweteke. Tuendelee kusaka kura hadi dakika ya mwisho.
 
Last edited by a moderator:
mimi nipo tayari. Nipen location ya kula bata cku hyo. Je ni JB BELMONT? La kairo? Tilapia? Villa Park? Rocky beach? Charcoal ribs?
 
he he he watu8 kuna mtu ana shida ya ki-love connect!!!
ushapiga kura kwa shostito lakini?

jamani ninashida ya kifamilia siyo ya kilovecxonnect
charminglady cousin sisy mtaninyanyapaa bana
beibe nasty nipigie debe kwa mamiyo anikubali basi
 
Last edited by a moderator:
he he he watu8 kuna mtu ana shida ya ki-love connect!!!
ushapiga kura kwa shostito lakini?

hahaha...mama wa kambo sio??? mke wangu atakuja kuamua mwenyewe mie naendelea na kampeni kuhakikisha mwanangu CL anachukua crown hii
 
jamani ninashida ya kifamilia siyo ya kilovecxonnect
charminglady cousin sisy mtaninyanyapaa bana
beibe nasty nipigie debe kwa mamiyo anikubali basi

Amu mwaya usijali subiri mamiii aje atakubali bana

Afu evelyne salt wewe mekumith
 
Last edited by a moderator:
mimi nipo tayari. Nipen location ya kula bata cku hyo. Je ni JB BELMONT? La kairo? Tilapia? Villa Park? Rocky beach? Charcoal ribs?

kaka ikifika tar 30 najua tutakua tushapata uelekeo mzuri wa hiki kinyang'anyiro....Lengo langu ni kuutangaza mapema ushindi na hilo litawezekana kama tu tukifikisha 50% ya votes.
Halafu hapo ndio tutajua kama ni Tilapia, JB n.k
 
mimi nipo tayari. Nipen location ya kula bata cku hyo. Je ni JB BELMONT? La kairo? Tilapia? Villa Park? Rocky beach? Charcoal ribs?

Wew ndo mc kwanza kaa ukijua si eti dadii?? Halaf nahis villa ndo penyewee
Si tunaanzia mkesha live band palee
 
Back
Top Bottom