Maana yake nini hapa ma engineer?

Cheki reli hapo kushoto
Jibu sahihi ni kwamba walikua wanapambana na height...ukiangalia upande wa kushoto road imeinuliwa juu ila kulia road iko chini....so ili ku avoid steep slope ndio wakaintroduce hiyo round kama njia ya ku counteract hiyo steep slope!!
 
Msipate shida, kuna wakati Mainjinia akili zao zinapagawa. Hilo ni eneo moja wapo.

Maeneo mengine wanaangusha maghorofa. Siyo mara zote wanakuwa makini na hapo ni ishara ya kukosa umakini wao.
Hamna injinia anaweza andika comment ya kijinga namna hii.

The beautiful part of the game is....tunapo design structure kama dams ...tall houses and the alike...sio tu tuna design litakuaje ila jua pia tuna design hilo jengo litaangukaje au litafelije in case ikitokea!

Karibu uhandisini NGWINI uliyebobea!!
 
Wanatafuta height ya kutosha huku wakiwa na slope ndogo, kwa ufupi kupunguza kasi ya mwinuko kunahitaji distance ndefu ambayo wameipata kwa kuzungusha barabara.
 
Umenena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi japo sio engineer ila naijua sababu. Ni kupunguza steepness ya slope.

Hii nalinganisha na zile barabara za magari kutoka floor moja hadi nyingine ghorofani. Au barabara zinazopanda mlima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…