Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Unajua vizuri circular motion mkuu??Mzunguko huo umepunguza mteremko wa gafla(steep slope) ambapo magari yangeshindwa kupanda au kushuka. Hiyo barabara ya juu imevuka reli ( nazani unajua urefu treni wa kwenda juu) ndani ya mita chache toka kwenye reli barabara hiyo ingetakiwa ishuke kama ulivyoweka alama , hiyo ingesababisha mkunjo down wa gafla ambapo gari zisingepanda au kushuka
Pamoja sana.nakubaliana na point yako japo mimi sii civil engineer
Sawa mkuu.Acha tusubirie ma senior engineer akina Upepo wa Pesa watoe maoni yao.
Mzunguko huo umepunguza mteremko wa gafla(steep slope) ambapo magari yangeshindwa kupanda au kushuka. Hiyo barabara ya juu imevuka reli ( nazani unajua urefu treni wa kwenda juu) ndani ya mita chache toka kwenye reli barabara hiyo ingetakiwa ishuke kama ulivyoweka alama , hiyo ingesababisha mkunjo down wa gafla ambapo gari zisingepanda au kushuka
Hapo Kuna steep slope, ila kutokana na picha ilivyopigwa haionekan, ili kupunguza sudden change of road slope, nafikiri hyo loop ama mzunguko uliitajika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni overhead... Fly over....!! Maana baranara iko juu na reli chini!!Kuna reli hapo ndiyo maana wameikwepa kwa style hiyo. Tena hapo walitumia akili sana baada ya reli njia ikarudi palepale.
Hiyo ni overhead... Fly over....!!
Bado sijaona point ya kutumia round kama kigezo cha kukwepa reli!! Hata wangetumia straight path wangeikwepa pia!!
Sizani mkuu...angalia vizuri...round iko baada ya reli....Wangetumia straight path kimo cha barabara kingekua chini sana kwa treni kupita chini mkuu.
Wee jamaa utakuwa too fresh na umekaririsha kwamba unachokisomea darasani ndio unachoenda kutumia kazini. Field hizo physics formula hatuziangalii sana ,tunadeal na real situation. Situation ya hapo flyover ya kwenye reli na makutano ya T mbele mita chache isingewezekana steep slope ishuke moja kwa moja kwenda kwenye T junction na hizo gari zipo kwenye steep slope na zinatakiwa zisimame kusubiri gari za highway zipite. Kuavoid ajali walifanya hivyo.
Ukirefer hiyo formula huoni kwamba ukiwa na angle kubwa ndio velocity inakua kubwa!!
Tueleweshane wajameni!!
Hizo sentensi tatu za kwanza wahandisi hatuzitumiagi sana maana ni kinyume na taaluma yetu!! Nitaanza kujibu hoja baada ya hizo porojo hapo juu...mistari miwili ya kwanza!!Wee jamaa utakuwa too fresh na umekaririsha kwamba unachokisomea darasani ndio unachoenda kutumia kazini. Field hizo physics formula hatuziangalii sana ,tunadeal na real situation. Situation ya hapo flyover ya kwenye reli na makutano ya T mbele mita chache isingewezekana steep slope ishuke moja kwa moja kwenda kwenye T junction na hizo gari zipo kwenye steep slope na zinatakiwa zisimame kusubiri gari za highway zipite. Kuavoid ajali walifanya hivyo.
Jibu murua kabisa!!Hapo kilicho guide kujengwa hivyo ni Height...
Pili ingeenda mojakwamoja ingepeleke kwenda kuishia mbali ambapo ingepelekea kuvunja nyumba nyingi kama unavyoona kule mbele yale magorofa, inawezekana walifanya tadhimini wakaona itakuwa garama sana kulipa hayo majengo. Huo nkunjo ni mahususi kwa ajili ya kupunguza approaching grade...
Iphone 5
Sizani mkuu...angalia vizuri...round iko baada ya reli....
Nadhani ungesema wametumia round path kama njia ya kuua steepness atleast ingemake sense maana ukiangalia kushoto mwa picha barabara iko juu alafu huku kulia mwa picha barabara iko chini!!
May be ndio maana wakatumia round purposely ili kuongeza length ya barabara na kuua steepness!!!
Namaanisha inayooneka ya zamani iliyo straight right handside, infrastructure zinaendana na plans za 30-50yrs,trust me ungeona the area and infrastructure plan ingejibu, nijuze ilipoitoa hiyo picha ama hiyo barabara ilipo, naamini naweza kuja na kitu critical kidogoYani wamejenga alafu wabomoe tena uko serious mkuu??
nimeikuta hii mahali,wasomi wa haya mambo mtujuze kwa taratibu za ujenzi wa ma flyover hiyo round hapo ina maana yoyote au just wasted
Nadhani picha inajieleza vya kutosha.
Cheki reli hapo kushotonimeikuta hii mahali,wasomi wa haya mambo mtujuze kwa taratibu za ujenzi wa ma flyover hiyo round hapo ina maana yoyote au just wasted
Nadhani picha inajieleza vya kutosha.