Unaposema flow unamaanisha nini??Kungekuwa na flow kubwa ndio maana wakaizungusha kupunguza flow taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wamejenga alafu wabomoe tena uko serious mkuu??Ungekua na plan ya njia husika ingenoga, hapo ujenzi unaendelea, yaani hiyo ya chini unayoiona iyavunjwa yote na kijengwa zingine zitazoendana na hiyo flyover
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said.Kama nnaona vizuri, upande wa kushoto ni kama vile kuna reli imepita chini. Nafikiri ilibidi kuinua upande huo wa barabara kuruhusu treni kupita. Huo mduara umetumika kushusha kimo cha barabara ili iendane usawa na hizi za upande wa kulia..
According to layman Engineer Samaritan
Unasemea velocity ya magari and the alike!!
nakubaliana na point yako japo mimi sii civil engineerHuo mzunguko unasaidia kupunguza mteremko.
ukitumia hiyo michoro mbadala
kutakuwepo mteremko mkali na mlima mkali.
na ukitaka kuupunguza lazima barabara itakuwa ndefu na kuchukua nafasi kubwa.
hivyo suluhisho ni huo mzunguko.