Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu

Naona moderators safari hii wana mtihani mkubwa. Kulifuta neno upumbavu ni kuonyesha Mh. Ben kweli katukana na kuliachia watu ndio wamepata field day. Linatoswa kama mpira wa kona. Labda itasaidia kuliingiza katika msamiati wetu wa kawaida kabisa ingawa sijashawishika kwamba si tusi na halina staha.
 
Ben kama alitukana pia tukubali kuwa na Sugu alitukana bungeni, tusiwe na upendeleo ktk hili
 
Tusiwe watoto ktk hili tusi linabaki kuwa tusi na linauzito wa pekee pale linapotamkwa na mtu mwenye heshima kubwa ktk jamii.Mara nyingi watu wa aina ya Ben huwa wanaandaliwa hotuba hivyo si rahisi kukurupuka akiongea huwa wanamaanisha
 
UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.

Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu Kwa kusema hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI STUPIDITY, LACK OF KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.

Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo

1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.

3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM.

4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.

5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.

6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.

7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea ajenda ya siri iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na 2012 kusimamia na Mpumbavu Joshua Nassari.

8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi ya uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani Prof. Lipumba na Dr. Slaa.

9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.

10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali kuburuzwa kama "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka lini? Slaa, Mbowe, Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na 2015.

Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa kushindwa kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa walanguzi kumpeleka Lowasa ikulu.

Acha kuwa mpumbavu na lofa.

UKAWA NI

U - UMOJA
KA - KAMILI WA
WA - WAPUMBAVU

KARIBU CCM MPE KURA YAKO MAGUFULI
#TEAM TINGATINGA
#HAPA KAZI TUUU
#SITAWAANGUSHAA
#MAGUFULI
 
Aliyesema wapumbavu alikuwa na maana sana wapumbavu kwasababu 1:- Benki zilipouzwa kwa bei ya kutupa tulishangilia
2:- Waliporuhusu wawekezaji wakaletwa hata wanaouza Karanga zinazotoka Dodoma na kuchukua vipusa sisi tukiangali
2:- Waliowekeza ktk viwanda wanaleta wakwao hususani India na China wanafanya kazi ya kufagia wakati watanzania hawana ajira
3;-HatunaHuduma za shule na hospital nzuri wakati wao hawazitumii sisi tunakaa kimya na kuwapigia kura .
4. Wanatufanyia kila madhila lakini sisi bado tunawashabikia
 
UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.

Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu Kwa kusema hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI STUPIDITY, LACK OF KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.

Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo

1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.

3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM.

4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.

5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.

6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.

7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea ajenda ya siri iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na 2012 kusimamia na Mpumbavu Joshua Nassari.

8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi ya uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani Prof. Lipumba na Dr. Slaa.

9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.

10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali kuburuzwa kama "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka lini? Slaa, Mbowe, Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na 2015.

Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa kushindwa kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa walanguzi kumpeleka Lowasa ikulu.

Acha kuwa mpumbavu na lofa.

UKAWA NI

U - UMOJA
KA - KAMILI WA
WA - WAPUMBAVU

KARIBU CCM MPE KURA YAKO MAGUFULI
#TEAM TINGATINGA
#HAPA KAZI TUUU
#SITAWAANGUSHAA
#MAGUFULI ✅✅
#CCM ✅✅✅✅

UMOJA NI USHINDI UNGANA NA CCM TEAM YA USHINDI

BY MTANZANIA MZALENDO
INNOCENT MBILINYI MAGUFULI
MTOTO WA SAMIA SULUHU NA MJUKUU WA DR SHEIN PIA NI KITUKUU CHA CCM IMARA NA ZALENDO.

#TUKUTANE OCTOBER 25
Kutokwenda shule si lazima kutokuwa umefika chuo kikuu au madarasani ila ni kutafuta majibu mahali pasipo sahihi. Ukiwa umeenda shule halafu ukaenda kwa fundi viatu kutafuta dawa za kutuliza maumivu ya kichwa hata ungekuwa profesa unakuwa hujaenda shule...sasa sikujua kama na SUGU naye siku hizi ni kamusi sahihi ya maneno ya kiswahili au kiingereza....!!!! Hata bunge lote haliwe kamusi sembuse mtu mmoja mmoja...? Nenda tu hapo mlimani wanauza kamusi za kiswahili usihangaike kuanza kumtafuta Sugu kila unapopata neno gumu la kiswahili. Kwa taarifa yako huyo si mamlaka ya utafsiri wa maneno ya kiswahili wala hawezi kunukuliwa kwa sababu hiyo. Akiongea bungeni kwa kuwa ni lugha za kwao hayo tuwaachie wenyewe watamjadili huko huko na tafsiri yao sahihi au si sahihi, wataomba miongozo toka kwa mheshimiwa spika...vinginevyo kama tunamnukuu tuelewe kama ni Profesa wa Kiswahili amebobea katika taaluma yake au namna gani...ni ushauri wangu tu si lazima pia nitukanwe unaweza kuupokea au kuukataa ni suala lako binafsi
 
Hao maprofesa wa hapo CDM wanaoshindana kutelekeza ndevu huwa najiuliza sana,"hivi wana akili sawa sawa hawa wazee? then nahitimisha labda hata course walizosomea zinachangia wao kuwa hapo kama masanamu."

Wamesoma lakini kama elimu yao imeshindwa hata kuisadia taasis ndogo kama ile badala yake inafanya maamuzi ya kingumbaru kabisa then,hawajaelimika they've to back to kindergarten.

Warudishwe chekechea hata kwa nguvu.
 
we unaonekana ni mtoto wa malaya manake unavoongea ni dhahiri kabisa kwamba humo kichwani kna usaha badala ya ubongo ah ngoja nifanye vitu va maana
 
UKIWA CCM WEWE NI ZAIDI YA MPUMBAVU KWA KUWA UNAWAJUA KWA URAHISI WAPUMBAVU WENZAKO. Kutokana na MKAPA 2015 (JANGWANI) alipowaita watu wote wanaotaka ukombozi kuwa ni wapumbavu na malofa alikusudia kuwa wapumbavu zaidi ni CCM ndio wanaoona na kuota mpaka leo kuwa bado wanaweza kuongoza milele na kujipa hatimiliki ya nchi yetu wote.
Hivyo CCM ni wapumbavu kwa sababu zifuatazo
1. Kuchagua mgombea kutoka mfukoni na kupeleka majina yakapitishwe kwa lengo la kumbeba mmojawao
2. Kununua wagombea ili wasirudishe fomu za uteuzi ili mtangazwe washindi wa mezani. Na kuuza chama kwa tajiri wa yanga ili agawe pesa kwa wajumbe wampitishe mgombea anayetakiwa ambaye amepigwa chini.
3. Kuwa na mawazo mgando kwamba waliolelewa CCM hawawezi kuwa wapinzani.
4. Kuendelea kuamini kwamba bado ccm inaaminiwa na wapiga kura
BADO UKO CCM? TAFAKARI...TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA OKTOBA 25. TULIANZA NA MUNGU, TUPO NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU....KARIBU JANGWANI TAREHE 29 AGOSTI KATIKA UZINDUZI
UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.

Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu Kwa kusema hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI STUPIDITY, LACK OF KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.

Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo

1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.

3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM.

4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.

5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.

6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.

7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea ajenda ya siri iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na 2012 kusimamia na Mpumbavu Joshua Nassari.

8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi ya uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani Prof. Lipumba na Dr. Slaa.

9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.

10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali kuburuzwa kama "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka lini? Slaa, Mbowe, Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na 2015.

Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa kushindwa kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa walanguzi kumpeleka Lowasa ikulu.

Acha kuwa mpumbavu na lofa.

UKAWA NI

U - UMOJA
KA - KAMILI WA
WA - WAPUMBAVU

KARIBU CCM MPE KURA YAKO MAGUFULI
#TEAM TINGATINGA
#HAPA KAZI TUUU
#SITAWAANGUSHAA
#MAGUFULI 💚💚✅✅

Back
Top Bottom