Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu

haiingii akilini kwa rais mstaafu kuita watu wapumbavu na malofa

We ulitaka awaitaje si unajua hao alikuwa subordinates wake na hujuiwalikua wanaongea nae nini. Wewe huwajui kama che Mkapa alivyokuwa akiwajua. Kwani Mwinyi pazi amewaitaje uko aliko.

Mmechagua ngumi ndio mchezo wenu sasa mnalalamika nini ndonga zikitua usoni vumilieni, we unajua JK katukanwa mara ngap?
 
Kuna mengi yamejificha hapa kumfanya mzee mzima aseme kwa jazba maneno kama yale..pengine mie niseme tu baada ya maneno ya hovyo ya Makongoro na huyu mzee sikua tena na appetite ya kusikiza kilichofuata. CCM ikumbuke kua kuna neutrals wengi ambao bado tunaangalia wapi kuna unafuu kidogo. Kwa kauli za kishenz kama hizi mnazidi kujipalia makaa kichwani. Tena cha kusikitisha zaidi baada ya maneno yale Bw. JK na Magufuli wake wakagongesheana na kukenua kwa furaha kabisa... sijui kama hiki chama kinajitambua!



Tukio lile hata mimi pia nililiona na nilisikitika sana kwanini rais aliunga mkono tusi alilolitoa Mkapa!?
 
Mkuu zumbemkuu,
Hakikisha unatumia upumbavu wako na ulofa wako unawahamasisha wapumbavu wote kuifuta CCM tarehe 25/10

Nataka upumbavu wangu na ulofa wangu nianze kuutumia asaiv kwa hawa wanaohujumu wagombea wa UKAWA ili wao wapite bila kupingwa,
 
Last edited by a moderator:
Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "no matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone"
Sisi tunasema "no matter whether he will bring development or not we will choose lowasa from ukawa to show the world that Tanzania is not for ccm only"

Dah aisee nimeipenda sana hii!
 
Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "no matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone"
Sisi tunasema "no matter whether he will bring development or not we will choose lowasa from ukawa to show the world that Tanzania is not for ccm only"

Unaakili sana big up!!!!
 
Mi UPUMBAVU na ULOFA WANGU.... ni kuwapa kura ya uraisi CCM 2010 kwa Ahadi ya GRID YA TAIFA SONGEA.... Ahadi ambayo haijatekelezwa wala kuchakata na hakuna waziri aliyechakatia nje ya uwaziri..

UPUMBAVU na ULOFA huo sitautumia tena kwa ahadi za MAGUFULI... kwamba..
1. Ataanzisha mahakama za mafisadi na majizi, wakati majizi hao anao huko huko na ndio waliompa nafasi hiyo, hataweza...
2. Nchi ya Magufuli ni ya viwanda wakati hao hao ndo waliouwa viwanda vya nguo, Pamba engineering etc...

'You cannot solve a problem with the same mind that created it' Allbert Einstein
 
Back
Top Bottom