Maana ya Self Defence

Maana ya Self Defence

Guy Black

Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
67
Reaction score
65
SGN_02_19_2025_1739988906665.png

Logo ya Dao System, " Dao" ni programu fupi ya mazoezi ya kujilinda, ambayo ilianzishwa nchini tanzania na mwl. Mazeru mwaka 2015.

Kwa lengo la kuipatia jamii uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, watekaji,wauaji,magonjwa na mazingira hatarishi. Aidha, kuendeleza mbinu za kujihami nchini tanzania.

Program hii ya " Dao " kwa mara ya kwanza ilitambulishwa kwa jina la (mazeru karate ) lakini kutokana na maboresho ya ubunifu na usajili wa haki miliki, imebidi kutumia jina la Dao ambalo nitalifafanua maana yake katika makala zijazo. Mimi ni mwl. Mazeru nipo muanzilishi wa programu ya (Dao ).
ProfilePhoto.jpg
 
View attachment 3272069
Logo ya Dao System, " Dao" ni programu fupi ya mazoezi ya kujilinda, ambayo ilianzishwa nchini tanzania na mwl. Mazeru mwaka 2015 . Kwa lengo la kuipatia jamii uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, watekaji,wauaji,magonjwa na mazingira hatarishi. Aidha, kuendeleza mbinu za kujihami nchini tanzania. Program hii ya " Dao " kwa mara ya kwanza ilitambulishwa kwa jina la ( mazeru karate ) lakini kutokana na maboresho ya ubunifu na usajili wa haki miliki, imebidi kutumia jina la Dao ambalo nitalifafanua maana yake katika makala zijazo. Mimi ni mwl. Mazeru nipo muanzilishi wa programu ya (Dao ).

Sawa tumekuelewa kuhusu programu yako ya Dao ila hujatuambia unaifundisha kwa Dau la bei gani

Lakini pia kuhusu location nadhani ni muhimu watu kujua ni wapi ambapo unawafanyia watu hizo training.
Nipo chanika kaka jirani na kituo kikubwa cha polisi , karibu sana. Dau kwa sasa hatupokei tunafundisha bure tuu.
.
 
Kama huyo kwenye picha ndio master, basi niko tayari kupambanana nae ili nimpasue aache uzuzu.
Hii imenikumbusha wakati wa utoto kuna braza alikuwa anapiga karate halafu anasumbua mtaani tukajipanga masela wanne kumpiga ambush maana tuliona tunammudu ....aisee tulichezea vitasa nakumbuka jamaa alinipiga kwenye kifua nikashangaa nakoroma kama pumzi inakata...hawa jamaa huwa wanajua wapi pa kupiga
 
Nipo chanika kaka jirani na kituo kikubwa cha polisi , karibu sana. Dau kwa sasa hatupokei tunafundisha bure tuu.
.
Sawa mi nitakuja ila tukubaliane kabisa kwangu zoezi la msamba hutalitumia.

Kwasababu mi kama nataka kumpiga mwizi au kibaka aliyenivamia sitatumia msamba. Msamba utanichelewesha.
 
Hii imenikumbusha wakati wa utoto kuna braza alikuwa anapiga karate halafu anasumbua mtaani tukajipanga masela wanne kumpiga ambush maana tuliona tunammudu ....aisee tulichezea vitasa nakumbuka jamaa alinipiga kwenye kifua nikashangaa nakoroma kama pumzi inakata...hawa jamaa huwa wanajua wapi pa kupiga
Mzee nyie waoga tu, mi niko tayari pambano la live liandaliwe, ili nitoe mafunzo kwa vitendo.

Hawa wanao jiita ma master, sisi tuna watemesha ngebe chap.
 
Kama kuna mtu ni mtaalam wa KRAV MAGA ajitokeze kutoa darsa nitamsaidia kupata wanafunzi
 
Back
Top Bottom