Maana ya neno mashiko

koryo

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
639
Reaction score
278
Naombeni sana kunielemisha maana ya neno mashiko. Kia mara nimewasikia watu wakisema maaneno yako hayana mashiko.
 
Naombeni sana kunielemisha maana ya neno mashiko. Kia mara nimewasikia watu wakisema maaneno yako hayana mashiko.
Hayana sababu za msingi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…