duh kweli umejua kuivalisha nguo lugha eti maketio! sikuwaza kabisa kama ulimaanisha wowowo au lugha ya kizamani eti kishtobe! wanangu waliposikia kauli ya masaburi walikuwa na hamu ya kumuona, siku nilipowaonyesha kwenye tv waliishiwa pozi, wakasema walidhani ni sharobaro fulani hvi kumbe mzee??!! hawakuamini