Maana ya neno "MASABURI"

Maana ya neno "MASABURI"

Duh!! Siamini kama Flora umepinda kiasi hiki!!
<br />
<br />
HAHAHAHAAA SASA SI TUNAKUELEWESHA,!? UTAELEWAJE KAMA TUNAPINDAPINDA SORRY KAMA UMEKEREKA MPENDWA AF UKIPATA TIME NI PM!!!
 
Haf hili neno liingzwe kwny kamusi! Likmaansha vichomwa sindano maarufu
 
Aise hi jf ni kiboko, vichomwa sindano maarufu? Hahahahaha, heee!
 
duh kweli umejua kuivalisha nguo lugha eti maketio! sikuwaza kabisa kama ulimaanisha wowowo au lugha ya kizamani eti kishtobe! wanangu waliposikia kauli ya masaburi walikuwa na hamu ya kumuona, siku nilipowaonyesha kwenye tv waliishiwa pozi, wakasema walidhani ni sharobaro fulani hvi kumbe mzee??!! hawakuamini
 
Back
Top Bottom