Maana ya neno "MASABURI"

Rejao

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
9,219
Reaction score
4,085
Kuna msamiati ambao umepanda chati sana hapa JamiiForum.
Inanitatiza kujua maana yake... most of the comments watu wanatumia hili neno!
Hivi lina maana gani? Naombeni kujua ili tuwe tunaenda wote sambamba.
 
Kuna msamiati ambao umepanda chati sana hapa JamiiForum.
Inanitatiza kujua maana yake... most of the comments watu wanatumia hili neno!
Hivi lina maana gani? Naombeni kujua ili tuwe tunaenda wote sambamba

Masaburi ni jina meya wa Dar se salaam.
 
kuna msamiati ambao umepanda chati sana hapa jamiiforum.
Inanitatiza kujua maana yake... Most of the comments watu wanatumia hili neno!
Hivi lina maana gani? Naombeni kujua ili tuwe tunaenda wote sambamba.

maketio!
 
Makalio...............TOPIC CLOSED 😛eace:
 
Sehemu ya kutolea ushuzi i.e kijambio!!
*** TOPIC CLOSED***
 
Na Tundu Lussu alilosema yule mbunge wa Zanzibar sijui jina lake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
yule mbunge wa znz achaneni nae atawaoa vitoto vyenu vya drs la 7 anatamaa sana na ndoa ya watoto
 
Najuta kuanzisha hii thread!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…