Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wajuzi wa lugha hili neno linatumiwa sana na wadau mbalimbali,hivi nini hasa tafsiri yake?na je ni wakati hutakiwa kutumika?Je twaweza kutoa mifano?
Aksanteni
Aksanteni
Ndio mzeeActually nimedhamiria kuwasaidia Taifa lenye nguvu Duniani liwe Tanzania,makofi tafadhalini jamani.
Kiukweli pia inafaaactually=kiuhalisia/kimsingi