Maana ya msemo wa "kinyume na maumbile

Maana ya msemo wa "kinyume na maumbile

Hivi ni kinyume na umbile au ni kinyume na maumbile? Naona kama huwa linatumika kwa wingi
 
Kuna mwingine ni mwanaume na ana homoni nyingi za kike na hana nguvu za kiume,kwahyo akitumia Makalio kujamiana anakuwa hajatumia kinyume na maumbile kwasababu hana nguvu za kiume
Kuna kiungo cha mwili kinaitwa nguvu za kiume?
 
Back
Top Bottom