maana ya maneno haya ni ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maana ya maneno haya ni ipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Apr 13, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kuna mdada mmoja sikuwahi kumtongoza
  nilifahamiana nae kikawaida.kiofisi zaidi....

  sasa juzi nimekutana nae...nikamwambia karibu weekend
  moja maeneo ya kwetu...

  akanijibu subiri nilee kwanza....
  kwa sababu ametoka kujifungua karibuni,

  well alimaanisha nini?au alielewa vinginevyo?

  halafu kuna msemo mwingine nimewahi sikia wanawake
  wakiusema in way huwa najiuliza exactly wanamaanisha nini?

  utasikia wakisema kuna wanaume hata ukiwabeba mgongoni hawaridhiki..
  now hapa kubebwa mgongoni humaanisha nini hasa???????
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ngoja alee kwanza maana yake yuko bize na malezi hana nafasi ya kukaribia kwako!

  Hilo lingine ni kwamba huyo mwanaume anaesemwa haridhiki hata apewe au afanyiwe nini. Yani haya ndo yakukufelisha mtihani?
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Chukua maana moja ulonayo kwenye mawazo,zingine hazifai
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mhhh
  mtu kusema ngoja nilee siokwamba
  anahisi utaomba kitu na hataki kubemenda mtoto?

  na kubebwa mgongoni sio mambo ya pwani?

  au mimi mawazo yangu potofu????????
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  the Boss ka vp jibebee......
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yote mawazo potofu...unaona kisichokuwepo!
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Karibu tupate country music hapa
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  asante kwa kunielekeza...
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wapi huko?
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Chumbani kwake.....
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaha,uchokozi huo lizzy!
  Though i mean it,what i say and what i do are never the same!!!
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  lizzy na mwenzio siwaelewi na
  bado sijui yeye ni he au she...
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahahaha!Kwani uwongo?Lolz!Mmh hiyo signecha ngoja niachane nayo maana hii siyo sehemu yake.
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huelewi nini?Spika kakukaribisha kusikiliza mziki...sasa unataka au hutaki?
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sielewi kuwa ni he au she
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ni hii!
   
 17. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi na mziki kuskiza ina jalisha unaskiza na jinsia gani eh
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Labda pia na wewe umemuelewa vibaya, alimaanisha yeye kwenda out mahala wakati ana mtoto mdogo hawezi
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  mwanaume kamkaribisha mwenzake wapate country music
  mwenzake kauliza swali hapa
  na hapa binti kajibu:):):)
  hapo mimi ndio nnapopigwa na butwaa
   
 20. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Anaposema subiri alee maana yake ni kwamba anajua utamwomba kitumbua ambacho siyo vizuri kula wakati ananyonyesha. Na anaposema hata ukimbeba maana yake hata akikupatia
  mtandao ule maarufu unaopendwa na wengi bado huridhiki.
   
Loading...