Maana ya hii phrase "THIRD LOVE"

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,317
Reaction score
4,118
Mara nyingi naona hiki ki-statement kinatajwa. akina 2pac na mwana Fa kwny nyimbo zao wameta. Naomba kuuliza hivi maana yake ni nini
 
[emoji23] [emoji23] kuna mtu unamuona tu kabla hajakusemesha umeshaloa, mwingine hata akupige sound vipi husisimki.
Teh..ngoja niishie hapa!
Kweli nina bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…