Maana ya CHADEMA na ukiukwaji wa demokrasia

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshindwa kuwa na Demokrasia ya kweli ndani ya chama ambapo nafasi ya Mwenyekiti ni sawa na inahodhiwa kidikteta.

Mwenyekiti wa sasa amekuwa ni wa kudumu kinyume na matakwa ya Demokrasia. Kwa kuwa hiki ni chama cha " Demokrasia" na " Maendeleo " na tayari kimeshafeli kwenye dhana ya Demokrasia.

Je, bado kina uhalali wa kuweza kuleta maendeleo? Yohana najiuliza tu na naomba niishie hapo!
 
naomba kujua Tlp na UDP na kile cha dovutwa walifanya chguzi zao za ndani lini? naomba kujua kwanini kuna kurithishana kofia mfano mkapa - jakaya na jakaya 2 mzee wa kustukiza/ mwenye frastrations. naomba kujua endapo kuna kistaafu kwa viongozi wa juu hapo lumumba. naomba kujua kwann mbowe.
ni hayo tu
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema) kimeshindwa kuwa na Demokrasia ya kweli ndani ya chama ambapo nafasi ya Mwenyekiti ni sawa na inahodhiwa kidikteta. Mwenyekiti wa sasa amekuwa ni wa kudumu kinyume na matakwa ya Demokrasia. Kwa kuwa hiki ni chama cha " Demokrasia" na " Maendeleo " na tayari kimeshafeli kwenye dhana ya Demokrasia je bado kina uhalali wa kuweza kuleta maendeleo?...... Yohana najiuliza tu na naomba niishie hapo!
Matakwa ya Demokrasia ya nani mkuu? Hebu weka hiyo katiba ya CDM kuhusu hili ili tuwapime. Najua pia CCM kilicho wapeleka kuwa na miaka kumi ni kile Nyerere aliita kofia mbili baada ya kuweka muhula wa raisi kuwa 5X2. Hiyo ndo demokrasia ya CCM.
 
Mnasubiria nini kuifuta 'Chadema' sasa ?.Sababu hayo uliyo ya ainisha kama ni kweli kinastahili kutokuwepo ktk List ya Vyama vya Siasa.

Pumbav san wew
 
Subiri ufipa waje kukubatiza kwa jiki
 
naomba kujua Tlp na UDP na kile cha dovutwa walifanya chguzi zao za ndani lini? naomba kujua kwanini kuna kurithishana kofia mfano mkapa - jakaya na jakaya 2 mzee wa kustukiza/ mwenye frastrations. naomba kujua endapo kuna kistaafu kwa viongozi wa juu hapo lumumba. naomba kujua kwann mbowe.
ni hayo tu
Afadhali CCM chaguzi zao tunazishuhudia, wale wa Ufipa nafasi ya Mwenyekiti ilisababisha kuzaliwa kwa ACT wazalendo!
 
Utaisifiaje ccm halafu ujione eti una akili? Yani na comparison kabisa unafanya? Wakati ccm kutokana na kuwepo madarakani toka uhuru, tumepigwa bao na nchi kibao ikiwemo Malaysia! Lakini mko pale pale tu kama kupe! [HASHTAG]#jingakabisa[/HASHTAG]
 
Chadema yenye ruzuku kwa miaka 25 imefanya nini?....... Walau Mrema alinunua kaghorofa pale magomeni usalama!
 
Lakini kwenye maendeleo na Demokrasia CCM wapo vizuri!
Demokrasia gani?Kama ni ndani ya chama, kwa taarifa yako, ni kwamba wamejifunza kuachiana kula. Mnafahamiana wenyewe kama mapanya tu, kwasababu si mna dola? kwahiyo ni rahisi kuachiana tu! Na tena mara nyingine kukubaliana kwamba mtapena nyadhifa flabi na flani kama mmoja akipata sapoti!kwasababu mnajuwa piga ua dola na tume havitaruhusu demokrasia! sasa sijui unaizungumzia demokrasia ipi kama siyo ufinyu wa akili?

Maendeleo yapi? Nimekutajia mojawapo tu ya nchi ambayo tulikuwa sawa kimaendeleo wakati tunapata uhuru, ie Indonesia na Malaysia, lakini sasa hivi wako developed, sisi bado ni masikini wa kutupwa! [HASHTAG]#jingakabisa[/HASHTAG]
 
Chadema yenye ruzuku kwa miaka 25 imefanya nini?....... Walau Mrema alinunua kaghorofa pale magomeni usalama!
Hiyo miaka 25 unadhani ruzuku ilikuwa hiyo hiyo? wame fight hadi kuongeza wabunge na madiwani mwaka hadi mwaka!Miaka 25 iliyopita hawakuwa na wabunge wala madiwani wengi kama sasa, na ruzuku kwa miaka mingi tu haikuwa kama ya sasa ambayo nayo itakuwa imeongezeka kidogo tu! Nadhani mna uelewa finyu sana ndo maana ninyi ni mtaji mkubwa wa ccm.

Sasa na sisi wenye rasilimali nyingi kuliko Indonesia na Malaysia, tutasema tuna nini kama Mrema alivyosema kuhusu kaghofora?
 
Hiyo miaka 25 unadhani ruzuku ilikuwa hiyo hiyo? wame fight hadi kuongeza wabunge na mwadiani mwaka hadi mwaka!Miaka 25 iliyopita hawakuwa na wabunge kama sasa, na ruzuku kwa miaka mingi tu haikuwa kama ya sasa ambayo nayo iyakuwa imeongezeka kidogo tu! Nadhani mna uelewa finyu sana ndo maana ninyi ni mtaji wa ccm.
Ongezeko la ruzuku linawassidiaje wanachama wa kawaida bwashee?!
 
Moja, sijui, na mimi siyo bwashee [HASHTAG]#jingakabisa[/HASHTAG]

Pili,ruzuku ya ccm kwani inasaidiaje wananachama kwa namna ambayo unataka chadema wafanye? Halafu unazungumzia ruzuku na wakati ccm inaendeshwa kwa pesa za ufisadi achilia mbali ruzuku mnayopata kama vyama vingine?!Umasikini tulionao ni ninyi!
 
Chadema fedha za Lowassa zinazoendesha chama mnaziitaje?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema) kimeshindwa kuwa na Demokrasia ya kweli ndani ya chama ambapo nafasi ya Mwenyekiti ni sawa na inahodhiwa kidikteta. Mwenyekiti wa sasa amekuwa ni wa kudumu kinyume na matakwa ya Demokrasia. Kwa kuwa hiki ni chama cha " Demokrasia" na " Maendeleo " na tayari kimeshafeli kwenye dhana ya Demokrasia je bado kina uhalali wa kuweza kuleta maendeleo?...... Yohana najiuliza tu na naomba niishie hapo!
Wewe, hivi akili yako inawaza suala la uongozi wa cdm tu? Huwazi namna ya kujiletea maendeleo wewe binafsi na wala huwazi namna ya kuijenga nchi yako bali cdm tu ndio unawaona! Hiyo ccm yako kwa miaka 50+ mmeleta maendeleo gani ambayo wewe unaweza kusimama na mvietnam au mkorea ukamtambia? Jifunze kujiwazia wewe na familia yako na chama chako kwani naamini hii project ya kumnanga na kuichafua cdm imeshindwa kama chama chako kinavyoshindwa sasa kuongoza na kuleta maendeleo! Endeleeni kuomba kuombewa tu kwani hakuna namna ya kuwasaidia hapo lumumba!
 
Hahahaa....maendeleo yaliyoletwa na CCM ni pamoja na haya mawasiliano yanayokupa fursa ya kukejeli upendavyo!
 
Back
Top Bottom