Maana ya CHADEMA na ukiukwaji wa demokrasia

Joined
May 12, 2014
Posts
79
Reaction score
9
Habar wanajamvi,

Napata wakati mgumu kutafakari kirefu halisi (kilichokusudiwa wakat hii org inaanzashwa) cha CHADEMA. Wengi wetu tunaamini kuwa kirefu chake ni CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, ila tunaona wazi kuwa demokrasia inabakwa ndani ya chama ichi.

Kuna mtu aliwahi kusema kuwa maana ya DEMOKRASIA ni WENGI wapewe na WACHACHE wasikilizwe. Kwa maana hii CHADEMA kama wachache wamepewa airtime kubwa sana hapa TANZANIA ya kusikilizwa wakiubiri demokrasia na mengine mingi wakati wao wakishindwa kudumisha hiyo demokrasia ndan ya chama chao.

Hivyo THEY FAILED TO PRACTISE WHAT THEY PREACH, vile vile wamekuwa wakitawaliwa kimabavu na mwenyekiti na katibu mkuu, hali ambayo imeshababisha baadh ya wajumbe na wanachama kulalamika kuhusu utawala huo wa kimabavu.

Badala ya CHADEMA kuwasikiliza hao watu wameishia kuwakana NA NDIVYO WATAKACHO FANYA LEO HII kuoyesha ubakiji wa demokrasia uliotukuka ndani ya chama ichi.

Ubakaji huu wa demokrasia haukuanza jana, umeanza enzi za kina Chacha Wagwe, ikaja zama za ZZK mpaka leo hii mtu yeyote atakayeulizia uchaguzi anaishia kufutwa uwanachama.

NAJIULIZA demokrasia hapa iko wapi katika hiki chama wakati uchaguzi mpaka hujafanyika tupilia mbal hata baraza kuu halijakaa wakati katiba inasema mpaka mpaka sasa vyote vilitakiwa viwe tayari vimefanyika.

Kwa upande wa MAENDELEO ndo kabisa mimi binafsi sijaona walichokifanya katika majimbo na kata zao. Nina ufahamu wa jimbo la ARUSHA ambalo nimeona maendeleo duni kulinganisha na majimbo mengine ya mjini kuaachia mbali jimbo HAI ambalo limedorora kabsa.

Kwa kuwa chama hiki kimeshindwa kutekeleza misingi yake hii miwili naaza kuwa na wasiwasi wa kirefu cha CHADEMA.

Kuna watu wanadai kuwa kirefu chake ni CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO, binafsi sina uhakika na jambo hili ila ukilinganisha misingi ya taafsiri ya pili utaona kuna kaukweli ukizingatia kashfa za UKABILA,UKANDA na UDINI zinazo andama chama hiki. Sina haja ya kuzungumzia hili sana kwani wote tunalijua.

Kama chama hiki ni cha demokrasia JE HAWA WACHACHE WATASIKILIZWA? NA KUTAKUWA.NA UCHAGUZI? Maana ratiba imetoka ila hamna kilichoendelea.

JE KIKAO CHA BARAZA KUU !KITAITWA? Au ndio mwenyekiti na katibu wanaogopa PEOPLE'S (WAJUMBE) POWER?
 
Mwambie ni Zitto afute kesi mahakamani ili baraza kuu liitishwe , si alizuia kikao kuitishwa ? Sasa leo Anahangaika wakati yeye ndio alifungua kesi ?
 
ukisoma na kusikiliza juu juu utadhani chama hiki ni mkombozi wa Tanzania kumbe walioko jikon wana malengo yao
 
Mwambie ni Zitto afute kesi mahakamani ili baraza kuu liitishwe , si alizuia kikao kuitishwa ? Sasa leo Anahangaika wakati yeye ndio alifungua kesi ?

Wewe mbulula, kesi haihusi Baraza Kuu kuitishwa. Inahusu kuwazuia nyie wahafidhina kumfukuza Zitto kinyemela. Tena anataka mahakama iwaamuru muitishe Baraza Kuu kusikiliza rufaa aliyokata.
 
Ilikuwa nini kilizuiliwa? Soma maombi yake alivyo wasilisho mahakamani , ni pamoja kuzuia baraza kuu kuitishwa na pili kumjadili , sasa hizi ni Sarakasi tu ,

mahakama haikuzuia kuket kwa baraza, ila ilizuia kuzungumziwa kuhusu kuvuliwa wanachama katika kamat mpaka zito asikilizwe kwenye baraz la taifa. PROVE ME WRONG kaka
 
Wewe mbulula, kesi haihusi Baraza Kuu kuitishwa. Inahusu kuwazuia nyie wahafidhina kumfukuza Zitto kinyemela. Tena anataka mahakama iwaamuru muitishe Baraza Kuu kusikiliza rufaa aliyokata.
Rufaa ipi Zitto aliyokata au umezoea kukariri,
 
Habar wanajamvi,

Napata wakati mgumu kutafakari kirefu halisi (kilichokusudiwa wakat hii org inaanzashwa) cha CHADEMA. Wengi wetu tunaamini kuwa kirefu chake ni CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, ila tunaona wazi kuwa demokrasia inabakwa ndani ya chama ichi.

Kuna mtu aliwahi kusema kuwa maana ya DEMOKRASIA ni WENGI wapewe na WACHACHE wasikilizwe. Kwa maana hii CHADEMA kama wachache wamepewa airtime kubwa sana hapa TANZANIA ya kusikilizwa wakiubiri demokrasia na mengine mingi wakati wao wakishindwa kudumisha hiyo demokrasia ndan ya chama chao.

Hivyo THEY FAILED TO PRACTISE WHAT THEY PREACH, vile vile wamekuwa wakitawaliwa kimabavu na mwenyekiti na katibu mkuu, hali ambayo imeshababisha baadh ya wajumbe na wanachama kulalamika kuhusu utawala huo wa kimabavu.

Badala ya CHADEMA kuwasikiliza hao watu wameishia kuwakana NA NDIVYO WATAKACHO FANYA LEO HII kuoyesha ubakiji wa demokrasia uliotukuka ndani ya chama ichi.

Ubakaji huu wa demokrasia haukuanza jana, umeanza enzi za kina Chacha Wagwe, ikaja zama za ZZK mpaka leo hii mtu yeyote atakayeulizia uchaguzi anaishia kufutwa uwanachama.

NAJIULIZA demokrasia hapa iko wapi katika hiki chama wakati uchaguzi mpaka hujafanyika tupilia mbal hata baraza kuu halijakaa wakati katiba inasema mpaka mpaka sasa vyote vilitakiwa viwe tayari vimefanyika.

Kwa upande wa MAENDELEO ndo kabisa mimi binafsi sijaona walichokifanya katika majimbo na kata zao. Nina ufahamu wa jimbo la ARUSHA ambalo nimeona maendeleo duni kulinganisha na majimbo mengine ya mjini kuaachia mbali jimbo HAI ambalo limedorora kabsa.

Kwa kuwa chama hiki kimeshindwa kutekeleza misingi yake hii miwili naaza kuwa na wasiwasi wa kirefu cha CHADEMA.

Kuna watu wanadai kuwa kirefu chake ni CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO, binafsi sina uhakika na jambo hili ila ukilinganisha misingi ya taafsiri ya pili utaona kuna kaukweli ukizingatia kashfa za UKABILA,UKANDA na UDINI zinazo andama chama hiki. Sina haja ya kuzungumzia hili sana kwani wote tunalijua.

Kama chama hiki ni cha demokrasia JE HAWA WACHACHE WATASIKILIZWA? NA KUTAKUWA.NA UCHAGUZI? Maana ratiba imetoka ila hamna kilichoendelea.

JE KIKAO CHA BARAZA KUU !KITAITWA? Au ndio mwenyekiti na katibu wanaogopa PEOPLE'S (WAJUMBE) POWER?

Tupe na kirefu cha ma ccm,
Mapinduzi yapi yamefanya since1977?

Unaelewa maana ya "mapinduzi"
 
Watu wengine bwana!? Wekeni hata ubunifu mpya japo kidogo kwenye posti zenu kama hizi. Hivi hamchoki kuongelea kitu kile kile kila wakati? Mnatuchosha jamani!!
 
Chama Cha Mapinduzi.........kilipindua nini?

Tupe na kirefu cha ma ccm,
Mapinduzi yapi yamefanya since1977?

Unaelewa maana ya "mapinduzi"

Kwa maana iyo nyie wote kwa pamoja mnakubali demokrasia hamna CHADEMA!!!

ivyo mnajitetea kuwa hata ccm kinaitwa chama cha mapinduzi ila hawajafanya mapinduzi ivyo ni sawa sawa nyie kutokua na demokrasia ndan ya chama chenu!!!!
 
Watu wengine bwana!? Wekeni hata ubunifu mpya japo kidogo kwenye posti zenu kama hizi. Hivi hamchoki kuongelea kitu kile kile kila wakati? Mnatuchosha jamani!!

Pole kwa kuchoshwa ila nikuulize kitu kimoja tu,

Ivi ujachoka kusikia mnyika akilalamika kuhusu ukiukwaji wa demokrasia ndan ya bunge kila siku kila kikao atakacho zungumza?
 
hao chadema hata kutamka neno demokrasia hawawezi we wasikilize kwenye mikusanyiko yao
 
Kwa maana iyo nyie wote kwa pamoja mnakubali demokrasia hamna CHADEMA!!! ivyo mnajitetea kuwa hata ccm kinaitwa chama cha mapinduzi ila hawajafanya mapinduzi ivyo ni sawa sawa nyie kutokua na demokrasia ndan ya chama chenu!!!!

Bare brains.......
 
Back
Top Bottom