Maana halisi ya SWAT .

Maana halisi ya SWAT .

SWAT hawahusiki na upelelezi. Hawa sio intelligence unit, ni kitengo tu cha polisi chenye mafunzo maalum kwaajili ya kukabiliana na matukio ya uhalifu wa silaha na mapigano ya karibu (close combat).

SWAT hawafanyi kazi nje ya marekani. Hata FBI wenyewe ni mpaka wapewe kibali maalum kwa oparesheni za nje ya Marekani. Ni kazi ya CIA kushughulika na hayo majanga nje ya mipaka ya marekani.

SWAT hawahusiki na ufuatiliaji wa madawa ya kulevya. Hiyo ni kazi ya D.E.A (kwa marekani). Ila hawa D.E.A nao wana kitengo chao cha aina hii ya SWAT.

SWAT hawana makali ya kufikia kufananishwa na Navy seals. Kuanzia mafunzo mpaka uzito wa oparesheni. Kwa marekani labda Delta Force ndio wanaweza kufananishwa kidogo na Navy Seals.
Umefafanua vyema
 
Kibongo haipo hiyo ... FFU wanalinda masanduku ya kura je kipindi hicho polisi huwa wameshindwa.? Hatuna mifumo mizuri.

Nashangaa mtu anaposema ni sawa na...

Wenzetu wamekuwa na uwezo wa kufanya kila mtu atumike kwa taaluma yake,nyinyi mnachanganya changaya,mboga+futali+juice ya maembe+maparachichi.

Ndio maana hata mtu uje umwambie hapa SWAT inavuka mipaka y marekani hataki.wakati FBI wanavuka na kufanya kazini kwenye barozi zao,kwa maswala ya kiamerica.
 
SWAT ni special force ya USA ikiwa ni kifupi cha (Special Weapon And Tactics) SWAT. Ni kikosi cha askari wenye akili na techniques za hali ya juu zaidi Duniani kwenye mapambano ya mkono au silaha za ana kwa ana zile (Close quarter Battle) CQB.
Majukumu yake ni kuhandle situation ngumu za ndani na nje ya marekani zinazousisha Ugaidi, Ujambazi wa kutumia silaha nzito, e.t.c

Kwa sababu ya terrorism na vita ya madawa SWAT hulazimika kufanya Kazi nje ya mipaka ya USA kwa kukusanya ushahidi na kufanya ambush.
nakataa izo kazi ulizozisema mbna kuna CIA na FBA
 
Nashangaa mtu anaposema ni sawa na...

Wenzetu wamekuwa na uwezo wa kufanya kila mtu atumike kwa taaluma yake,nyinyi mnachanganya changaya,mboga+futali+juice ya maembe+maparachichi.

Ndio maana hata mtu uje umwambie hapa SWAT inavuka mipaka y marekani hataki.wakati FBI wanavuka na kufanya kazini kwenye barozi zao,kwa maswala ya kiamerica.
Ubalozini ni sehemu ya USA hata kama ni Tz. Hivyo ni sahihi FBI kuwepo
 
SWAT ni special force ya USA ikiwa ni kifupi cha (Special Weapon And Tactics) SWAT. Ni kikosi cha askari wenye akili na techniques za hali ya juu zaidi Duniani kwenye mapambano ya mkono au silaha za ana kwa ana zile (Close quarter Battle) CQB.
Majukumu yake ni kuhandle situation ngumu za ndani na nje ya marekani zinazousisha Ugaidi, Ujambazi wa kutumia silaha nzito, e.t.c

Kwa sababu ya terrorism na vita ya madawa SWAT hulazimika kufanya Kazi nje ya mipaka ya USA kwa kukusanya ushahidi na kufanya ambush.
Mkuu umeeleza vizuri sana,ila hawa SWAT na wale SEAL Team nani zaidi?
 
Back
Top Bottom