Jamani mimi sina muda mrefu humu JF lakini tangu nimejiunga nimeona manufaa yake...kuna mambo mengi nlikuwa siyajui na sasa JF imenisaidia sana. Ama kweli JF inaleta maana kamili ya kujamiiana (Socialize).
Dada Vivian-hivi kungonoka ni kiswahili cha kawaida?nikiwa na maana baba na mama wanaweza kusema tume ngonoka miaka mingi lakini hatupati mtoto? Au ni cha mtaani?