Maamuzi Ya Sasa Ya Prince Harry Hayana Tofauti Kubwa na Maamuzi Yaliyowahi Kufanywa Na Mfalme Edward VIII - Babake Mkubwa Malkia Elizabeth II

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Historia inaonyesha kuwa Mfalme Edward VIII wa Uingereza aliukana Ufalme kwa sababu ya Mwanamama wa Kimarekani aitwae Wallis Simpsons.

Mfalme huyo alihudumu kwa miezi 11 tu kuanzia 20/01/ 1936 hadi tarehe 11/12/ 1936 na kuachana na Ufalme ili aweze muoa Mwanamama huyo wa Kimarekani aliyeachika mara 2 na alikosa sifa zinazokubalika na familia ya Kifalme.

Mdogo wake Mfalme George VI Baba yake na Malkia Elizabeth II alirithi Ufalme badala yake.

Alifariki na kuzikwa kwao Uingereza mwaka Tarehe 5/06/1972.

Mkewe alifariki na kuzikwa Uingereza 29/04/1986 akiwa na Miaka 89.

Baadhi ya Nukuu zake Muhimu!

" I declare my irrevocable determination to renounce the throne for myself and for my descendants and my desire that effect should be given to this instrument of abdication immediate.


"I have found it impossible to carry the heavy burden of responsibility and to discharge my duties as king as I would wish to do without the help and support of the woman I love." He added that the "decision was mine and mine alone
 

Attachments

  • 220px-King_Edward_VIII_and_Mrs_Simpson_on_holiday_in_Yugoslavia,_1936 (1).jpg
    220px-King_Edward_VIII_and_Mrs_Simpson_on_holiday_in_Yugoslavia,_1936 (1).jpg
    8.9 KB · Views: 5
  • 170px-Bundesarchiv_Bild_102-13538,_Edward_Herzog_von_Windsor.jpg
    170px-Bundesarchiv_Bild_102-13538,_Edward_Herzog_von_Windsor.jpg
    6.1 KB · Views: 5
  • images (50).jpeg
    images (50).jpeg
    21.6 KB · Views: 5
  • download (3).jpeg
    download (3).jpeg
    2.6 KB · Views: 5
  • images (45).jpeg
    images (45).jpeg
    19.5 KB · Views: 5
  • images (51).jpeg
    images (51).jpeg
    22.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom