Uchaguzi 2020 Maamuzi ya Rufaa NEC, Septemba 13: Rufaa 4 za Wagombea Ubunge zakataliwa, Madiwani 25 warudishwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1600004757477.png


1600004775084.png


1600004814303.png
 
Inaonekana rufaa zote zimekataliwa na hii TumeCCM hapo Mbeya mjini (Mahera anajua fika CCM haina chake Mbeya). Na imenishtua sana hapo Babati mjini eti rufaa nne za wagombea ubunge walioenguliwa kutoka vyama vinne tofauti zimekataliwa. Huu ni mpango mkakati wa TumeCCM kumpitisha msaliti Pauline Gekul bila kupingwa!. Vyama husika visinyamazie uovu huu! Hivi vyama husika (najua wagombea wa Chadema na ACT watakuwa miongoni mwa walioenguliwa) vinahitaji kuanika uovu huu wa TumeCCM ili waangalizi huru wa uchaguzi na dunia ijue hakuna tume huru ya kutenda 'haki' hapa Tanzania!
 
Back
Top Bottom