Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo na kuendelea na biashara zake.
But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress Disorder. Mo amepoteza confidence na ni kama maamuzi mengi anafanyiwa na mtu.
Wazungu wanasema kama kuna jambo kubwa limetokea na unataka kulijua vizuri, fuatilia pesa - Follow the money!
Sasa tusaidiane kuunganisha dots.
1. Nadhani wengi tunadhani mhusika nyuma ya kutekwa kwa watu na watu wasiojulikana tunamjua.
2. Mo ametekwa na amerudi kwenye mazingira yenye maswali mengi bila majibu mpaka sasa.
3. Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700.
4. Yule tunayemdhania kuwa boss wa wasiojulikana anakuwa tajiri ghafla na kuanza kutoa misaada mbalimbali kwa watu na Chama.
5. Baada ya Mo kujiuzulu na ghafla kujirudishia uenyekiti wa bodi ya timu, mtu huyo anatokea tena kwa kuteuliwa na Mo kama Mshauri Mkuu wa club.
Kuna mtu anaweza kunisaidia kuunganisha hivi vitu?
Sielewi elewi!
Sent using Jamii Forums mobile app