Amon Mahamba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 399
- 64
Cuf nao kila kukicha wanatuletea minzengwe kwanini Wagombea wa cuf hawakuwepo waridhike na maamuzi ya viongozi wa UKAWA
Niko neutral na ninaongea hali halisi (na ya kisheria) ambayo haiwezi kubadilishwa sasa.una point mkuu ila, ungebainisha na madhara ya kuwa na wagombea wawili wakiwa wote wa ukawa. Vinginevyo watu watashindwa kukubaini unashambulia(side attack) ukitokea upande upi uko ukawa ama ccm.
NI baada ya mgongano tangu kuteuliwa said nkumba kuwakilisha chadema ambapo cuf nao walimchagua bwana KIPEPE kuwakilisha.
lakini hatimaye nkumba alirudi tena CCM ndipo kipepe alibaki strong stand, lakini baadaye tena cdm ikateua tena mtu mwingine bwn hija ndipo cuf walipogoma ukigeugeu huo wa mbowe na wafuasi wake.
ndipo leo tena alipofika kamanda mbowe na kutaka watu wapige kura kwa kunyoosha mikono badala ya maafikiano ya kuachiana majimbo. Ili kupata mwakilishi mmoja wa UKAWA ndipo CUF walipogoma kuafiki kwani hata mgombea wa CHADEMA alipita kwa kunyoshewa mikono(kura ya hadhara) mgombea mwenzake wa CUF hakuwepo!
Then wewe mwana UKAWA una maoni gani kuhusu demokrasia hii Mbowe vs CUF"
na ccm wanahuska kuchochea vurugu hapo
Kama ni rahisi hivyo basi wangewapa zoezi la kuvuta kamba Slaa na Lowasa, ambaye angeibuka mshindi ndo angepewa nafasi ya kugombea urais....
Cheap politics.....!!!