Maamuzi ya Mbowe yapingwa Sikonge

Maamuzi ya Mbowe yapingwa Sikonge

Mayala masuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
449
Reaction score
796
NI baada ya mgongano tangu kuteuliwa said nkumba kuwakilisha chadema ambapo cuf nao walimchagua bwana KIPEPE kuwakilisha.
lakini hatimaye nkumba alirudi tena CCM ndipo kipepe alibaki strong stand, lakini baadaye tena cdm ikateua tena mtu mwingine bwn hija ndipo cuf walipogoma ukigeugeu huo wa mbowe na wafuasi wake.

ndipo leo tena alipofika kamanda mbowe na kutaka watu wapige kura kwa kunyoosha mikono badala ya maafikiano ya kuachiana majimbo. Ili kupata mwakilishi mmoja wa UKAWA ndipo CUF walipogoma kuafiki kwani hata mgombea wa CHADEMA alipita kwa kunyoshewa mikono(kura ya hadhara) mgombea mwenzake wa CUF hakuwepo!

Then wewe mwana UKAWA una maoni gani kuhusu demokrasia hii Mbowe vs CUF"
 
baada ya apo ikawaje????

ikawa hivi mkuu' wana cuf hawatambui ukawa tena endapo kama mbowe ataendelea na msimamo wake wa kumsimamisha mbunge wa cdm kwa tiketi ya ukawa, na wao watamsimamisha wa kwao maana wameshindwa kufikia muafaka kati ya cuf vs cdm. sijui umenielewa
 
sijakuelewa mkuu yupi sasa alinadiwa???
 
sijakuelewa mkuu yupi sasa alinadiwa???

bwana HIJA kutoko cdm ndio kapitishwa na mbowe,na bwana KIPEPE wa cuf kapigwa chini. hivyo cuf walidai wangeachiwa hilo jimbo. sababu wao cdm walijichanganya wakafikia hadi hatua ya kumpa kibaraka wa ccm bwana nkumba
~natumaini umenipata.
 
NI baada ya mgongano tangu kuteuliwa said nkumba kuwakilisha chadema ambapo cuf nao walimchagua bwana KIPEPE kuwakilisha.
lakini hatimaye nkumba alirudi tena ccm ndipo kipepe alibaki strong stand, lakini baadaye tena cdm ikateua tena mtu mwingine bwn hija ndipo cuf walipogoma ukigeugeu huo wa mbowe na wafuasi wake.
ndipo leo tena alipofika kamanda mbowe na kutaka watu wapige kura kwa kunyoosha mikono badala ya maafikiano ya kuachiana majimbo. ili kupata mwakilishi mu1 wa UKAWA
ndipo cuf walipogoma kuafiki kwani hata mgombea wa cdm alipita kwa kunyoshewa mikono(kura ya hadhara) mgombea mwenzake wa cuf hakuwepo!
then wewe mwana ukawa una maoni gani kuhusu demokrasia hii mbowe vs cuf_"

kwa nini mgombea wa cuf hakuhudhuria mkutano wa ukawa.
 
Only Ukawa can do that sharp-witted trick! kama aliyoifanya leo Mbowe hapa Nzega, kawashika wagombea wawili wa ubunge waliokuwa ktk utata wa maamuzi akawashika mikono na kuuliza umma ni yupi waliyempenda! then huyo ndiye atapeperusha bendera ya ubunge kwa ticket ya ukawa, bila kujali chama chake period!!
 
mahakama gani hiyo mkuu?

Back
Top Bottom