Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,856
No!! not cheap to me!!Ni rahisi sana mbona! agombee yule wananchi wanamkubali, it doesn't need a PHD holder to work that one out sir!!even lofa kama mimi naweza pata jawabu hilo bila wasiwasi!!
Nakumbuka tulikuwa pamoja pale line police na kushuhudia hilo tukio.Kwa njia aliyotumia Mbowe ilikuwa ni rahisi kutatu Mgogoro uliokuwepo kwa sababu wanachama wa UKAWA ndio wenye final say.