Maamuzi ya Mbowe yapingwa Sikonge

Maamuzi ya Mbowe yapingwa Sikonge

Only Ukawa can do that sharp-witted trick! kama aliyoifanya leo Mbowe hapa Nzega, kawashika wagombea wawili wa ubunge waliokuwa ktk utata wa maamuzi akawashika mikono na kuuliza umma ni yupi waliyempenda! then huyo ndiye atapeperusha bendera ya ubunge kwa ticket ya ukawa, bila kujali chama chake period!!

Kama ni rahisi hivyo basi wangewapa zoezi la kuvuta kamba Slaa na Lowasa, ambaye angeibuka mshindi ndo angepewa nafasi ya kugombea urais....

Cheap politics.....!!!
 
Kama ni rahisi hivyo basi wangewapa zoezi la kuvuta kamba Slaa na Lowasa, ambaye angeibuka mshindi ndo angepewa nafasi ya kugombea urais....

Cheap politics.....!!!

No!! not cheap to me!!Ni rahisi sana mbona! agombee yule wananchi wanamkubali, it doesn't need a PHD holder to work that one out sir!!even lofa kama mimi naweza pata jawabu hilo bila wasiwasi!!
 
kwa nini mgombea wa cuf hakuhudhuria mkutano wa ukawa.

mkutano ulikuwa jana watu wamekaa asbh had jioni then lowasa hakutokea, ukaahirishwa hadi leo. naye pengine alikuwa na dharura
 
kama kwenye maamuzi ya kamati jimbo wamepewa cuf, cdm kaani pembeni na kama cdm ndo wamepewa cuf waache ung'ang'anizi
 
Kwani aliyekuwepo alipiga kampeni? Kama hajapiga hakuna 7bu ya kulalamika. Mbowe alikuwa analazimika kutoa ufumbuzi papo hapo maana hakuna muda tena.
 
Kama ni rahisi hivyo basi wangewapa zoezi la kuvuta kamba Slaa na Lowasa, ambaye angeibuka mshindi ndo angepewa nafasi ya kugombea urais....

Cheap politics.....!!!

Hahaha Kim Nana nimekuinulia mikono juu maana umenifanya watu wanishangae kwa hii comenti yako.
 
Kwani aliyekuwepo alipiga kampeni? Kama hajapiga hakuna 7bu ya kulalamika. Mbowe alikuwa analazimika kutoa ufumbuzi papo hapo maana hakuna muda tena.

walifanya wote kampeni na wanaendelea kufanya na mabandiko ya picha zao" pia baada ya cdm kumwaga mboga nao cuf wamemalizia ugali" yaani wakati cdm wakifanya kampeni kitanda kwa kitanda wao cuf si tu kwamba wanafanya kampeni nyumba kwa nyumba bali ni uvungu kwa uvungu
sasa mwishowe hali isitatuliwa kwa busara inaweza kutoa advantage kwa ccm. ni maombi yangu kwa kamanda mbowe aliangalie upya na haraka jambo hili la ugawanaji wa majimbo, sehemu zilizoleta utata hadi mda huu ni hayo tu
 
Nasikia huko majimboni zinapigwa kishenz...
Tatizo wenyeviti waliweka maslai yao binafsi mbele pasipo kushirikisha watendaji chini
 
ikawa hivi mkuu' wana cuf hawatambui ukawa tena endapo kama mbowe ataendelea na msimamo wake wa kumsimamisha mbunge wa cdm kwa tiketi ya ukawa, na wao watamsimamisha wa kwao maana wameshindwa kufikia muafaka kati ya cuf vs cdm. sijui umenielewa
Kwa maoni yangu wanjisumbua bure kutafuta mgombea mmoja sasa, kwa sababu wote wameshapitishwa na NEC na watakuwepomkwenye ballot paper. Wanachotakiwa kufanya ni kuwapigia kampeni wote tu katika majimbo ambayo hawakupata mwafaka wa mwakilishi mmoja maana hawana njia. Waache wapiga kura wataamua
 
Kama ni rahisi hivyo basi wangewapa zoezi la kuvuta kamba Slaa na Lowasa, ambaye angeibuka mshindi ndo angepewa nafasi ya kugombea urais....

Cheap politics.....!!!

Thubuutuuuuu...kwani mbowe hajui nini kingetokea?
 
Kwa maoni yangu wanjisumbua bure kutafuta mgombea mmoja sasa, kwa sababu wote wameshapitishwa na NEC na watakuwepomkwenye ballot paper. Wanachotakiwa kufanya ni kuwapigia kampeni wote tu katika majimbo ambayo hawakupata mwafaka wa mwakilishi mmoja maana hawana njia. Waache wapiga kura wataamua

una point mkuu ila, ungebainisha na madhara ya kuwa na wagombea wawili wakiwa wote wa ukawa. Vinginevyo watu watashindwa kukubaini unashambulia(side attack) ukitokea upande upi uko ukawa ama ccm.
 
mayala masuka sauti ya wengi ni sauti ya mungu....mbowe alikuwa sahihi kabisa kuhakikisha anamaliza mgongano wa kugombea jimbo..ameuliza wapiga kura ambao walikuwepo hapo uwanjani nao wamemchagua wamtakaye..sasa mtu wako kama hakuridhika aendelee na kampeni kivyake na mungu amsaidie ashinde lakini nakuhakikishia hatashinda...Mbowe hongera sana kwa busara zako
NI baada ya mgongano tangu kuteuliwa said nkumba kuwakilisha chadema ambapo cuf nao walimchagua bwana KIPEPE kuwakilisha.
lakini hatimaye nkumba alirudi tena ccm ndipo kipepe alibaki strong stand, lakini baadaye tena cdm ikateua tena mtu mwingine bwn hija ndipo cuf walipogoma ukigeugeu huo wa mbowe na wafuasi wake.
ndipo leo tena alipofika kamanda mbowe na kutaka watu wapige kura kwa kunyoosha mikono badala ya maafikiano ya kuachiana majimbo. ili kupata mwakilishi mu1 wa UKAWA
ndipo cuf walipogoma kuafiki kwani hata mgombea wa cdm alipita kwa kunyoshewa mikono(kura ya hadhara) mgombea mwenzake wa cuf hakuwepo!
then wewe mwana ukawa una maoni gani kuhusu demokrasia hii mbowe vs cuf_"
 
Haya mambo ya kuburuzana ndio aliyakataa Dr.Slaa,
 
hujanielewa wapi mkuu nikufamishe/niboreshe
Mimi niliiangalia ile taarifa ya habari ila nakumbuka kuona nae mgombea wa cuf kusimamishwa na Mbowe kama ilivyofanyika kwa mwenzie. Nikikumbuka vizuri wa cuf alipata mikono michache zaidi ya mwenzie. Labda mleta uzi atuhakikishie tulieonyeshwa kama alikuwa mwakilishi wa mgombea na sio vinginevyo. Muda uliobakia wa kampeni ni mchache hivyo Mbowe asingekuwa na njia nyingine ya haraka kuliokoa jimbo kuangukia mikono ya ccm.
 
mayala masuka sauti ya wengi ni sauti ya mungu....mbowe alikuwa sahihi kabisa kuhakikisha anamaliza mgongano wa kugombea jimbo..ameuliza wapiga kura ambao walikuwepo hapo uwanjani nao wamemchagua wamtakaye..sasa mtu wako kama hakuridhika aendelee na kampeni kivyake na mungu amsaidie ashinde lakini nakuhakikishia hatashinda...Mbowe hongera sana kwa busara zako

ndg yangu aligawee sio kweli kwamba et mimi unadhani nimeegemea cuf no! point yao wanadai kuwa wao cdm walikenguka hilo jimbo wakampatia kibaraka wa ccm nkumba. na wao walimsimamisha mgombea ikiwa ni pamoja na kushindana na kibara,mara baada ya nkumba kurudi ccm wameendelea kung'ang'ania tu hilo kwa kutupa karata yao kwa mtu mwingine wakasahau kuwa walibugi step vilevile kuachiana majimbo
 
Last edited by a moderator:
Mimi niliiangalia ile taarifa ya habari ila nakumbuka kuona nae mgombea wa cuf kusimamishwa na Mbowe kama ilivyofanyika kwa mwenzie. Nikikumbuka vizuri wa cuf alipata mikono michache zaidi ya mwenzie. Labda mleta uzi atuhakikishie tulieonyeshwa kama alikuwa mwakilishi wa mgombea na sio vinginevyo. Muda uliobakia wa kampeni ni mchache hivyo Mbowe asingekuwa na njia nyingine ya haraka kuliokoa jimbo kuangukia mikono ya ccm.

Gerald kaka, mgombea wa cuf hakuwepo, uliyemuona ww ni mgombea udiwani ambapo na penyewe palikuwa na mgogoro ule ule, lakini yeye alikubali kushindwa na kumwachia mwenzake kwa ridhaa yake yeye mwenyewe, ndio maana yeye sikumsemea/kumwongelea.
 
Last edited by a moderator:
swali zuri

Mayala Masuka ameshatangulia kukwambia Mbowe kawasimamisha wagombea wote wawili na kuwauliza mkutano ni yupi wangependa abaki kuwa mgombea wao ashindanishwe na wa ccm na wote tumeshuhudia hivyo. Sasa wewe na mleta uzi kwa sababu zenu mnazozielewa ninyi na pengine kwa manufaa yenu mnataka kuwachanganya wananchi.Hata kama jimbo liliachwa kwa cuf nao wakaweka mgombea dhaifu Mbowe aliache jimbo lichukuliwe kirahisi na ccm?
 
No!! not cheap to me!!Ni rahisi sana mbona! agombee yule wananchi wanamkubali, it doesn't need a PHD holder to work that one out sir!!even lofa kama mimi naweza pata jawabu hilo bila wasiwasi!!

Amesahau hata wabunge wa ccm hupitisha utumbo wao kwa wingi wa ndioooooo na kunyosha mikono.Leo wananchi waliokusanyika wanyimwe haki ya kufanya maamuzi.Mwambie apime akili yake huyo..,
 
Back
Top Bottom