Maamuzi ya kutofanya maamuzi

Maamuzi ya kutofanya maamuzi

a45

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
1,455
Reaction score
1,606
My observation during 2018 (Indecision is the decision it self)



Kutofanya maamuzi na kwenyewe ni sehemu ya maamuzi kwaiyo kama ukiwa na nafasi ya kufanya jambo moja kati ya options kadhaa ulizonazo basi kama hutochukua option yoyote kati ya hizo options zilizopo basi tambua kukaa kwako bila kuchukua maamuzi ya kipi ufanye hayo ndo maamuzi yenyewe ambayo wewe umeamua kuyachukua (ya kutofanya kitu)


watu wengi tumekua na kasumba hii kwa kujua na wengine bila kujua tumekua tukichukua maamuzi haya ya kutofanya maamuzi (sometimes tumekua wazito kufanya maamuzi kitu kinachopelekea kuchelewa na mda mwingine hii inapeleka zile fursa tulizozipata kuondoka ) sasa ni wakati sahihi wa kujirekisha kwa kipindi hiki tukiwa tunaelekea 2019 kwamba tuanze kujibidiisha kweli kweli kuhakikisha kwamba lazima tufanye maamuzi (kwa kuhusisha na ubongo ) katika ufanyaji wa hayo maamuzi tusiogope kufeli kwa sababu "the only failure is never to try "



Karibuni wana jukwaa nanyi muweke observations zenu kwa 2018 ambazo unaona/unadhani tunapaswa kuzibadili wakati tuanenda 2019 karibuni ....!!!!!
 
Back
Top Bottom