Oscar Wissa
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 120
- 187
Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie.
Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
Kwanza Mungu si kama sisi wanadamu, kwamba ety, ukimuomba akupe kicheko atarudi kuangalia uliowaumiza, Nop.Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie.
Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.