Maamuzi ya CHADEMA Asilia

Maamuzi ya CHADEMA Asilia

JF,

Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr Slaa kutimua.

Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa, KUMPA KURA ZETU ZOTE DR. JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa CHADEMA wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.

Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.

KURA ZETU KWA MAGUFULI.

CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI

Cc. Dr. Slaa

Peleka unafiki huko gamba ww huna adabu
 
wote wenye fikra kama zako hamkujua maana ya mabadiliko watanzania tunayoyataka.mabadiliko yanayotakiwa hapa si ya watu bali ni ya mfumo.

mfumo mbovu wa ccm ndo umezalisha richmond, eppa, escrow. hivyo hata aingie nani,katika mfumo mbovu wa ccm hakuna atakalo fanya.

jitambue mambo unayoshabikia usipelekwe na hisia tumia fikra kijana.magufuli na lowasa wanamaana kama mifumo watakayotumia itakuwa ni imara

ila sasa wenye kulete mfumo mbovu si wameshaondoka CCM jamani!!! CCM si imebaki safi au??
hao wapinzani hawajawahi kushika dola ndio maana hatuzijui tabia zao......ni sawa na ukiwa kwenye ndoa unaona mume nakutesa ila ukipata mwingine unajuta.....
 
We unashabikia treni lipi spidi kali sana kulekea shimoni. Yaani unawahi kujizika mwenyewe.

Sio mimi ninae gawa wanachama ila hayo ni maamuzi ya Chadema asilia wote na ipo hivyo. Maadam tumedharauliwa kwa kuletewa kundi la mafisadi na Dr Slaa kuonekana hana maana tena kwa nguvu zake zote alizozitoa na hata kupata kilema kwa ajili ya chama chetu hatuna budi na sisi kuonyesha msimamo wetu.

Wengi wetu tulikuja chadema kwa kuvutiwa na Dr Slaaa na misimamo yake na wala sio Mbowe wala Lissu. Sasa ameondoka ni lazima tuwe nae bega kwa bega popote pale.
tulikuja cdm kwa kuchukizwa na ccm
yaan hayta huyo mbowe aondoke...poa tu sisi tunataka mabadiliko
 
Msimamo wa chadema asilia ni huo huo wala hakuna atakaye rudi nyuma. Twende na Dr. Slaa twende na Magufuli.
kila siku unapost ccm leo cdm asilia
msimamo wa cdm asilia sjui cdm modern ni kwamba tunataka katiba mpya, tunataka mabadiliko

huyo slaa kama anadhan anauzito aje kabisa majukwaani ampigie maguful kampeni
slaa nje ya cdm ni mwepesi kuliko zitto
 
Pengine kuna watu/viongozi ndani ya UKAWA/Chadema wameona kwa hili au mengine wameshakosea. lakini wamejiuliza ni lipi solution ya haya?je ni kuanzisha chama chao?kuhamia CCM?kuitisha press conference na Kujuta/kuponda maamuzi uliyoshiriki kama LIPUMBA/SLAA?..Jibu HAPANA kwa sababu yote hayo ni kuiongezea nguvu CCM ambayo hata wao(wasaliti) wameona haifai zaidi.so me nadhani wapinzani wakweli sio wale wanaogeuka katikati ya safari kwa kosa moja,huwezi kujipunguzia kura uchaguzi mkuu na kusema ujenge chama baada ya uchaguzi.

Iko mifano yaweza kuonekana mibaya lakini ndio uhalisia wenyewe. Kawaida mbwa hujiona yeye ndio mmiliki wa mfugaji wake hata kufikia kumbwekea!!! Hili halimfanyi mwenye mbwa nae kumbwekea mbwa, humpa makombo na kumtia kwenye kijumba!! pindi mbwa huyo akatapo mnyororo hutoroka na kuzagaa mitaani ambako hukutana na mbwakoko wazoefu... hapo naye huwa koko na kupoteza thamani yake ya awali!!!

Kipofu anapoongozwa na mbwa kipofu ni nini matarajio? wanaposema watajenga chama baada ya uchaguzi na kujiita Chadema asilia mzee Mtei na Ndesa wasemeje? waacheni vipofu wasiohitaji kufikiri waongozwe na mbwa kipofu.

Mabadiliko yapo ndani ya mioyo ya watanzania sasa... wasipoyaoga watayanywa
 
jf,

kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi chadema, na kumfanye kamanda wetu dr. Slaa kutimua.

Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu dr slaa, kumpa kura zetu zote dr. John pombe magufuli ili sasa chadema wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.

Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.

Kura zetu kwa magufuli.

Chadema asilia wote tusimamie hili

cc. Dr. Slaa

jiandaeni kuitwa wasaliti
 
Wengi wetu tulikuja chadema kwa kuvutiwa na Dr Slaaa na misimamo yake na wala sio Mbowe wala Lissu. Sasa ameondoka ni lazima tuwe nae bega kwa bega popote pale.

Kama huu ndio msimamo wako wa kuamini katika mtu na sio misingi ya Chama,basi utakuwa unayumba sana siku zote.
 
JF,

Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr. Slaa kutimua.

Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa, KUMPA KURA ZETU ZOTE DR. JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa CHADEMA wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.

Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.

KURA ZETU KWA MAGUFULI.

CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI

Cc. Dr. Slaa

Mtapambana wala hamtashinda,LOWASSA ndio habari ya mujini.Tutapiga kura na kuzilinda.Hakuna goli la mkono!!Najua upo peke yako na IT wenzako wa Masaki.
 
JF,

Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr. Slaa kutimua.

Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa, KUMPA KURA ZETU ZOTE DR. JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa CHADEMA wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.

Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.

KURA ZETU KWA MAGUFULI.

CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI

Cc. Dr. Slaa

Hata mm nampa maguful
kura
Huu n upuuz kutuletea li gonjwa kwenye chama chetu
 
Chadema asili gmesajiriwa lini.slaa ndiye kamkaribisha lowassa kwa tshirikiano na gwajima akakimbia mwenyewe hili kulinda penzi lake na mushumbusi.
 
We unashabikia treni lipi spidi kali sana kulekea shimoni. Yaani unawahi kujizika mwenyewe.

Sio mimi ninae gawa wanachama ila hayo ni maamuzi ya Chadema asilia wote na ipo hivyo. Maadam tumedharauliwa kwa kuletewa kundi la mafisadi na Dr Slaa kuonekana hana maana tena kwa nguvu zake zote alizozitoa na hata kupata kilema kwa ajili ya chama chetu hatuna budi na sisi kuonyesha msimamo wetu.

Wengi wetu tulikuja chadema kwa kuvutiwa na Dr Slaaa na misimamo yake na wala sio Mbowe wala Lissu. Sasa ameondoka ni lazima tuwe nae bega kwa bega popote pale.

Siasa za majitaka peleka lumumba waliko waimba mipasho na umbea wa kila rangi. Chadema asilimia au CCM asilia? Ni UWENDAWAZIMU kuiamini kwamba kila MTZ ni MWENDAWAZIMU. Adui yetu mkubwa ni MKOLONI MWEUSI FISIEM. Kama unapenda Slaa mfuate nyumbani kwake mkanywe nae coffee.
 
Hata mm nampa maguful
kura
Huu n upuuz kutuletea li gonjwa kwenye chama chetu

Lowassa ni balaa. Lumumba vijana wanajitekenya na kucheka wenyewe. Adui yetu mkubwa ni MKOLONI MWEUSI FISIEM. Jiandaeni kisaikolojia hata angesimama Saddam wa Libya mwaka huu angepewa kura za ndio ili kuiangusha Ccm.
 
wote wenye fikra kama zako hamkujua maana ya mabadiliko watanzania tunayoyataka.mabadiliko yanayotakiwa hapa si ya watu bali ni ya mfumo.

mfumo mbovu wa ccm ndo umezalisha richmond, eppa, escrow. hivyo hata aingie nani,katika mfumo mbovu wa ccm hakuna atakalo fanya.

jitambue mambo unayoshabikia usipelekwe na hisia tumia fikra kijana.magufuli na lowasa wanamaana kama mifumo watakayotumia itakuwa ni imara

Namshukuru sana Lowassa kuweka kipaumbele cha kwanza hadi cha tatu kuwa ni elimu tena elimu bora kwa watoto wote wa kitanzania. Unajua ubora wa elimu ya watoto wetu ilianza kushushwa makusudi kabisa na mfumo wa ccm toka miaka ya katikakati ya 1975 hadi leo kwa kuwaruhusu mawaziri wa elimu kila mmoja kuingilia mitaala waliyoikuta na kuweka ya kwao kulingana na maagizo ya chama chao. Wakati elimu ikidhoofishwa kwa watoto wetu wao watoto wao waliwasomesha ulaya na mashule ya kimataifa ili kuja kurithi nafasi zao kuongoza nchi. Vijana wetu wakaingiziwa madawa ya kulevya na viroba kuharibu tu ubongo wao kwa kuwa hawajaelimika. Shule kukosa madawati, vitabu kwa wanafunzi hadi vya waalimu kufundishia na vifaa vingine hadi maabara. Walimu kukosa mishahara na nyumba za kuishi n.k. Sasa ukishakuwa na taifa la watu wasio na elimu iliyo sahihi hawawezi kuchambua mambo sawa sawa kwa manufaa yao na taifa lao. Hawawezi kulima kilimo chenye tija kwa kukosa elimu stahiki na inayoweza kuchanganua mambo na ni rahisi kufuata mkumbo na kuwatumia kirahisi kwa malengo yako kuliko wale walioelimika kwani wao pamoja na elimu pia wana uwezo wa kuchambua na sio rahisi kuburuzwa. Sasa tukiwarudia hawa wanaojiita chadema asilia wao wamekosa uwezo tu wa kuchambua masuala na wala hawataki kujikumbusha malengo ya muungano wa vyama uliozaa ukawa kuwa pamoja na kutetea katiba nzuri ya wananchi bunge la katiba lakini ni pamoja na kuiondoa ccm madarakani kutokana na mfumo wao m-bovu wa uongozi wa nchi. Sasa endapo mchumba wa Slaa angeridhia Slaa abaki chadema na tayari Slaa alisharidhia Lowasa kusimama kama mgombea uraisi wa ukawa haya mapovu yangewatoka? Sasa kweli mnategemea kwa mfumo waliojirithisha ccm baada ya kwenda Zanzibar na kulizika azimio la Arusha huko na kujirithisha mfumo wa kukumbatia mafisadi, wezi wa mali asili za nchi, kuwaambia wakwepa kodi wakubwa lipeni kidogo kidogo na hamtashtakiwa, kuogopa kuwapeleka mahakamani waagizaji wa madawa ya kulevya eti nchi itatetereka hata kama mtampa Magufuli kura zenu mnategemea akayatekelezee ccm hayo anayo waaminisha majukwaani? Kwa taarifa yenu aliye ndani ya ccm hawezi kubadilisha au kutekeleza matakwa yake yaliyo kinyume na sera yao anaeweza ni aliye nje ya ccm ambae kwa sasa ni Lowassa wa chadema. Wananchi fanyeni kinyume muendelee kutaabika kwa miaka kumi ijayo. MAGEUZI UKAWA. UKAWA KAGEUZI.
 
Back
Top Bottom