We unashabikia treni lipi spidi kali sana kulekea shimoni. Yaani unawahi kujizika mwenyewe.
Sio mimi ninae gawa wanachama ila hayo ni maamuzi ya Chadema asilia wote na ipo hivyo. Maadam tumedharauliwa kwa kuletewa kundi la mafisadi na Dr Slaa kuonekana hana maana tena kwa nguvu zake zote alizozitoa na hata kupata kilema kwa ajili ya chama chetu hatuna budi na sisi kuonyesha msimamo wetu.
Wengi wetu tulikuja chadema kwa kuvutiwa na Dr Slaaa na misimamo yake na wala sio Mbowe wala Lissu. Sasa ameondoka ni lazima tuwe nae bega kwa bega popote pale.
Wanaoamua mtu kwenda ikulu sio chama ni wananchi. Usidanganywe. Sasa wewe unajua wananchi wangapi ambao watatupigia kura? Unajua? Usiwe kama huwezi kufikiri.-Angalia tafiti mbili tu zilizotoka majuzi zimetuweka kwenye position gani. Au wewe ndio wale wanaosema wamenunuliwa. ?? Kwa mtaji huu hatuwezi endelea kamwe
sio unstumia maneno tu kasuku. kwa neno mfumo una maana gani kama sio unakariri anachosema mbowe. kuchukua makapi ya ccm na nyumbu wao ndio mtabadili mfumo au kutafuta gia ya kutokea? bahati mbaya gear yenyewe ni 'reverse'! teh teh teh.wote wenye fikra kama zako hamkujua maana ya mabadiliko watanzania tunayoyataka.mabadiliko yanayotakiwa hapa si ya watu bali ni ya mfumo.
mfumo mbovu wa ccm ndo umezalisha richmond, eppa, escrow. hivyo hata aingie nani,katika mfumo mbovu wa ccm hakuna atakalo fanya.
jitambue mambo unayoshabikia usipelekwe na hisia tumia fikra kijana.magufuli na lowasa wanamaana kama mifumo watakayotumia itakuwa ni imara
CCM bana kama watoto na ka mbinu kao haka kuwavalisha watu t-shirt za CDM na kusema ni CHADEMA asili,.
Endeleeni kuwavalisha wafuasi wenu na wanachama t-shirt za CDM wakigoma kuvua na wakafanya kweli msije kulaumu.
"UKAWA HUU NI MFUMO-WETU AU"
au mfumo wenu ni ule wa kuwakata walioshinda kwenye kura za maoni na kuwaweka mnaowataka
au mfumo wenu ni kuwauzia chama wenye hela na kukitawala
au mfumo wenu ni kuwafukuza waanzilishi wa chama na kuwapokea Makapi ya CCM
au mfumo wenu ni ule wa sisi kwa sisi wa kugombania majimbo
au mfumo wenu ni ule wa kuwasafisha watu ambao mlishakwisha watuhumu kuwa ni Mafisadi waliokubuhu yaani wako kwenye list ya mafisadi wa taifa leo hii kisa wapo upande wenu mnawasafisha.
au mfumo wenu ni ule wakukurupuka leo hii unasema hivi kwa mabaya kisa haukonacho lkn kesho ukikipata unakisifia, hivi nyie vigeugeu ndo mnataka mpewe nchi? yaani ukawa hamueleweki mmekuwa km mvua za dar" !!!
Huwezi kutugawa kwa mtindo huo.Treni liko kwenye spidi kali Sana huwezi kulisimamisha
JF,
Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr Slaa kutimua.
Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa, KUMPA KURA ZETU ZOTE DR. JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa CHADEMA wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.
Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.
KURA ZETU KWA MAGUFULI.
CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI
Cc. Dr. Slaa