Maamuzi ya CHADEMA Asilia

Nimekupenda bure mkuu Nyunyu,heshima kwako.
nifah hawa vijana wanaopenda maisha mkubwa wakati hawajafanya kazi yeyote ni tatizo katika nchi hii. Siajabu huyu yumo kwenye kundi alilokuwa analisema Lowassa kuwa ajira kwa vijana ni bomu; naam mmoja wa bomu nu huyu kijana! Ati anajiita Chadema Asilia! Lini Chadema imegawanyika... wanataka kutuaminisha Dr.W.Slaa alipo jiC.C.M alisababisha mpasuko!!!

Daktari aliktuhubiria miaka kadhaa nyuma kuwa adui yetu namba moja ni CCM, ati leo anakuja na siasa uchwara tumuamini!!

Watuache bana, huu ni mwaka wa Machanges tu...
 
Last edited by a moderator:
Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Leo fiesta wapi mkuu!
 
"UKAWA HUU NI MFUMO-WETU AU"
au mfumo wenu ni ule wa kuwakata walioshinda kwenye kura za maoni na kuwaweka mnaowataka
au mfumo wenu ni kuwauzia chama wenye hela na kukitawala
au mfumo wenu ni kuwafukuza waanzilishi wa chama na kuwapokea Makapi ya CCM
au mfumo wenu ni ule wa sisi kwa sisi wa kugombania majimbo
au mfumo wenu ni ule wa kuwasafisha watu ambao mlishakwisha watuhumu kuwa ni Mafisadi waliokubuhu yaani wako kwenye list ya mafisadi wa taifa leo hii kisa wapo upande wenu mnawasafisha.
au mfumo wenu ni ule wakukurupuka leo hii unasema hivi kwa mabaya kisa haukonacho lkn kesho ukikipata unakisifia, hivi nyie vigeugeu ndo mnataka mpewe nchi? yaani ukawa hamueleweki mmekuwa km mvua za dar" !!!
 

Kaanzisheni chama.chenu muone kama mtapata watu.

Naona uko Lumumba na umepewa jukumu la kujifanya cdm unayemtetea Slaa, kwa bahati mbaya hela yenu Slaa kala na.bado hamkupata matokeo chanya.

Jiandaeni tu kuingiza nchi machafukoni kwa kulazimisha kubaki madarakani.
 
Ukawa tumeshasemwa sana na ukweli tunaujua ila tunauweka mfukoni. Tuna tamaa tu ya kukimbikia ikulu wakati sisi wenyewe hatujajipanga.

Hatupo tayari tumekumbwa tu na upepo na tunajaribu kulazimisha mambo kwa tamaa zetu. Uongozi wa nchi hautaki watu wa namna hii.

Leo hii Dr Slaa ma Prof Lipumba wangekuwa ma tamaa wangekuwa bado wapo tuu wakisubiri madaraka na vyeo lukuki. Hawa ndio mifano ya viongozi bora na sio hawa makamanda wetu kina Mbowe, Lissu na wengineo.

Wachumia tumbo tuu hawa. Wanataka kufanya biashara kwenye migongo ya watu. Ukweli ni ukweli hatuwezi oneana aibu kwa sababu ni masuala ya kitaifa
 

Heri mwenye mfumo maana anajua atafanye nini kesho ili aboreshe kuliko UKAWA wasio na mfumo kabisaa na ambao hata ule waliokuwa nao wameukana. Mhunzi wasiwasi hukana zana zake mwenyewe na hawa ni UKAWA
 

Hivi wewe kama nani chadema? We umeijua juzi chadema tulioanzisha chadema tumekaa kimya unabwabwaja tuu hapa. Kwanza wewe ni pandikizi
 
 

Wanaoamua mtu kwenda ikulu sio chama ni wananchi. Usidanganywe. Sasa wewe unajua wananchi wangapi ambao watatupigia kura? Unajua? Usiwe kama huwezi kufikiri.-Angalia tafiti mbili tu zilizotoka majuzi zimetuweka kwenye position gani. Au wewe ndio wale wanaosema wamenunuliwa. ?? Kwa mtaji huu hatuwezi endelea kamwe
 
kweli mama yako atakuwa anasikitika kwann alikuzaa ww!

Tangu lini Slaa akawa kamanda? Naye ana matatizo, uwe na ushahidi na kitu zaidi ya miaka minane ukae kimyaaaaa, mpinzani gani huyo? au alikuwa na lake jambo?
 
Acha kujitekenya na kucheka. Hakuna chadema asilia. Slaa sio chadema tena. Bye bye CCM.
 

Haya ni maigizo au vichekesho? Hakuna uhalisia hata kgdo.
 
Hivi wewe kama nani chadema? We umeijua juzi chadema tulioanzisha chadema tumekaa kimya unabwabwaja tuu hapa. Kwanza wewe ni pandikizi
Inawezekana mimi nimeingia huko kabla yako. Nadhani wewe ndio kijana wa juzi. Sisi ndio tuna uchungu tumeharibiwa chama chetu hivi hivi kwa usanii wa dili. Tumeshatoa mapesa yetu chungu mzima ya michango kwa ajili ya chama, leo hii tumesalitiwa, kwelii? ?? Hatuwezi kaa kimya. Tunajua tulipo toka na hatuwezi katishwa hivihivi. Ngoja uchaguzi upite uone tutafanya nini
 

Eti CHADEMA asilia!! Mtko yako.
 
Lazima akili yako inahitilafu!
 
Tangu lini Babeli akawa Chadema? Aendelee kujitekenya na kujichekesha mwenyewe na IT wenzake wa Lumumba na Masaki!
 
Kachukue buku zako lupumba,Mabadiliko kwanza hayo mengine baadae
 

Kama unavutiwa na Dr. Slaa na una mahaba ya kweli juu yake ni vyema umshauri aripoti matatizo yanayomsibu sasa kwenye 'KITENGO CHA JINSIA, JESHI LA POLISI TANZANIA' kwani ndiyo kitengo pekee kinachoweza kumsaidia kwa sasa vinginevyo akubali matokeo na kuendelea kuvumilia ili DOZI imwingie sawasawa.
 
Chadema ni Chadema tu, nadhani wewe utakuwa kile Chama cha Wasaliti tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…