Maamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Maamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG je, Mama ataweza kula vichwa (kushika sharubu za Simba) kuelekea uchaguzi mkuu 2025?

Asipowala vichwa waliokula nchi kwa urefu wa kamba zao je, hii itakichonganisha CCM yenyewe? Itakichonganisha CCM na wapigakura? Itakichonganisha CCM na Bunge?

Nini unabii (utabiri) wako?
 
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Atajaribu kutaka kuvunja Baraza Ili amtoe namungo lakini wle jamaa watamkataza akishupaza shingo tu atajuta kufanya uamuzi huo!!

Atabadili Baadhi ya mawaziri lakini sio kuvunja Baraza kabisa!!

Kuna gharama atalipa kama akimtosa namungo fc!
 
Maamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG je, Mama ataweza kula vichwa (kushika sharubu za Simba) kuelekea uchaguzi mkuu 2025?

Asipowala vichwa waliokula nchi kwa urefu wa kamba zao je, hii itakichonganisha CCM yenyewe? Itakichonganisha CCM na wapigakura? Itakichonganisha CCM na Bunge?

Nini unabii (utabiri) wako?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wapiga kura gani? Hawa wanaoona ushabiki wa Yanga na Simba, Diamond na Alikiba ni muhimu kuliko Katiba mpya? Au wewe mgeni hapa Tanzania? Jamii ya waTanzania ni wajinga kuliko jamaii yoyote hapa Duniani.
 
Hahahahah

unataka tuwe majasiri kama Hamas?

tuachie Nchi yetu ya Wajinga wajinga nenda hizo Nchi zenye werevu werevu

unataka tuvuruge amani yetu kisa tu tusiitwe wajinga wajinga ?
 
Unaweza kuwa mjinga alafu ukabaki na amani? Yaani unywe maji machafu na kulala na kunguni na papasi alafu bado unasema unayo amani.
Kwako wewe amani ni nini?
 
Amani tunayo Bwana Mdogo

Israel wana maisha bora kwa kila namna kuliko sisi lakini sasa hivi Raia wake hawana amani wako mtaani wanamshinikiza Netanyahu ajiuzulu kwa kushindwa kuwahakikishia amani

utajuaje umuhimu wa Hospital wakati hujawahi kuumwa au kuuguza ?

Kwahiyo kwako ukisikia Warundi wanavuka mpaka wanaingia Kigoma au ukisikia Wa Ukraine wanavuka mipaka ya Nchi yao kuepuka maafa unafananisha na wewe kunywa maji machafu au kulala na kunguni?

akili hizi znaashiria hata internet unayotumia ni kwa hisani ya 'Mume wa Dada'
 
Unaweza kuwa sahihi kwa namna unavyoona...vita siyo mpaka mbebe silahaa na amani siyo mpaka kusiwe na bunduki. Lakini pia unaweza kuwa sehemu ya wale wanaopumbaza watu kuwa bora ulale kwa kukosa umeme, maji Safi na salama wala kushinikiza viongozi kutumia vizuri makusanyo ya kodi zetu bali wakifanya hivyo watakuwa wanavunja amani walionayo.
Kuhusu matumizi ya internet ni hisani ya mume wa dada siyo big deal sana kwasababu Mh. Rais mwenyewe analala na kula kwa pesa zangu.
 
Unaweza kuwa sahihi kwa namna unavyoona...vita siyo mpaka mbebe silahaa na amani siyo mpaka kusiwe na bunduki. Lakini pia unaweza kuwa sehemu wale wanaopumbaza watu kuwa bora ulale kwa kukosa umeme, maji Safi na salama wala kushinikiza viongozi kutumia vizuri makusanyo ya kodi zetu bali wakifanya hivyo watakuwa wanavunja amani walionayo.
Kuhusu matumizi ya internet ni hisani ya mume wa dada siyo big deal sana kwasababu Mh. Rais mwenyewe analala na kula kwa pesa zangu.
Umevimbiwa amani ndio sababu unatukana Watanzania kwa kuwa tu hawashawishiki kuvuruga amani yao kwa visingizio hivyo sijui vya Umeme sijui Maji n.k

kwani hao waliovuruga nchi zao kupinga hayo waliyopinga wamefanikiwa kwa kiasi gani?

ingekuwa siku unaamka unakuta Vifaru vya adui vimefyeka vichwa 20 vya Ndugu na Jamaa zako kama tunavyoona kule Ghaza usingekuwa na ujasiri wa kutukana Jamii yako kwa kuwa tu wanatunza amani
 
Maamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG je, Mama ataweza kula vichwa (kushika sharubu za Simba) kuelekea uchaguzi mkuu 2025?

Asipowala vichwa waliokula nchi kwa urefu wa kamba zao je, hii itakichonganisha CCM yenyewe? Itakichonganisha CCM na wapigakura? Itakichonganisha CCM na Bunge?

Nini unabii (utabiri) wako?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Usitegeeme cha maana kutoka kwa huyo ggy money
 
Hamna la maana walikuwa waigizaji, wewe husikii walikuwa wanadai tupo pamoja.
 
Maamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG je, Mama ataweza kula vichwa (kushika sharubu za Simba) kuelekea uchaguzi mkuu 2025?

Asipowala vichwa waliokula nchi kwa urefu wa kamba zao je, hii itakichonganisha CCM yenyewe? Itakichonganisha CCM na wapigakura? Itakichonganisha CCM na Bunge?

Nini unabii (utabiri) wako?
Maamuzi ya Bunge ni yapi kuhusu Ripoti ya CAG? Nilichokiona mimi ni marumbano kati ya Wabunge na Mawaziri, lakini sikusikia maazimio ya aina yoyote.!!!
 
Back
Top Bottom