Duh!!!!!Tatizo ni huyo mnyama hapo umecopy na kupaste, hata mimi nisingekubali huo ujinga.
Ahaa sasa umefunguka mwenyewe, kumbe ulikopi toka moja ya makampuni uliyoyakusanya logo zao, Logo hutakiwi kukusanya za makampuni mengine kisha unakopi na kufanya mabadiliko kidogo, toa yako kichwani, nakushauri tumia kiwavi jeshi, utampenda.Unafikiri ni mimi tu ndo natumia huo mnyama, mbona kuna kampuni nyingi zinatumia
Hao jamaa ni pasua kichwa na huwa wanajiona wako sahihi sana..anyway ukiweza fika mwenyewe ukaongee na mkubwa waoNaomba kusaidia hili wakuu.
Nilikuwa na mpango nianzishe brand ya kutengeneza viatu, nguo, kofia na vitu vingine, maana nilitaka itambulike kabisa brela.
Nilituma maombi ya isajili wa jina na logo(trademark) lakini brela wamekataa maombi yangu kisa imefanana na logo ya ferrari,
lakini ukiangalia logo yangu na ya ferreri haziendani hata kidogo.
naweza kufanyaje ili kulalamika juu ya hili ili ipitiwe upya.
dora brand
View attachment 2127972
ferrari logoView attachment 2127973
naona kama zinatofautiana sana hata haziendani.
Kuna system wanatumia, mfano kama umeweka picha ya dog, wao huwa hawaangali kingine zaidi ya kuingiza jina dog na kama system itaonesha kufanana kwa asilimia 50% ya kampuni zingine! Basi itoshe kuikataa logo yako!Hao jamaa ni pasua kichwa na huwa wanajiona wako sahihi sana..anyway ukiweza fika mwenyewe ukaongee na mkubwa wao
Kwani ferari imesajiliwa hapa?Aisee huyo aliyekukataza atakua mzee wa miaka tisini huko sio kijana, Mbona logo iko tofauti na Ferarri. Ushauri: Mzee avue miwani atazame upya logo yako.
Kwani ferari imesajiliwa hapa?
Ahaa sasa umefunguka mwenyewe, kumbe ulikopi toka moja ya makampuni uliyoyakusanya, Logo hutakiwa kukusanya za makampuni mengine kisha unakopi na kufanya mabadiliko kidogo, toa yako kichwani, nakushauri tumia kiwavi jeshi, utampenda.