Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Mchezaji wa mpira wa mguu= 504million kwa mwaka kwa bongo ni neo maema
Teacher wa secondary = 8.4 million kwa mwaka elimu degree
Daktari bigwa= 20.4million kwa mwaka
Mwanasiasa (mbunge) = 141.6 million plus posho kwa mwaka
Drug dealer= 1 siku 300million
NB, ni makadirio sijaangalia scale zao kupanga ni kuchagua unafikili ni kwanini wanasiasa wako radhi kuuana kisa kiti hio ndoo sababu moja wapo money money