mambo ya mapenzi magumu sana pamoja na ushaur mwisho wa siku ni yeye mwenyewe anampenda nani
Mbu
i have a naive philosophy when it comes to type za watu wa kuwa na ex- and then ex- and then new one and then all grouped into one pot!! 99% of time huyo mtu anakua hajaamua anataka nini. it is different from one asking (one thread brought by MJ1, kuhusu mshefa, where the lady knows what she want, a husband back)....
Type ya huyo mdada ni opportunistic, and i have three reasonsshe passes all three!!!
- one, opportunistics always play victim
- opportunists never cut ties, wanaweka akiba ya kesho
- opportunists dont make firm decisions
Now coming to the abuse, they say once beaten twice shy.... is it her bad choices?? it that she is very unlucky?? [someone else star]?, or is it she is the precursor of those abuses?? or probably everyman is abusive??
My advice kwake sina, coz wanawake wa namna hiyo hata uwashauri vipi, they will go back behind your back and do exactly opposite the advice... its from experience mkuu naongea haya. nina ndugu, nina rafiki nk. and i can affirm by just looking at the comment kwamba huyu wa tatu ni ok, maaan, in love there is no, there is super, brilliant, perfect, hot etc. it shows she is not fully excited and too bad for the dude
I betcha she secret;ly spend time with the others (intimate) and the new guy ni insurance policy tu, and if we give her one year, she will come back with teh same story kwamba na huyu wa tatu ni abusive
THOSE ARE MY SENTIMENTS AND BY NO MEANS I DONT LIKE THE GIRL, BUT I AM JUST HITTING THE CORE/NUCLEUS... THE BEST WAY TO CHANGE THE WORLD IS TO BE THE CHANGE YOU WANT TO SEE, I DONT SEE IT THERE BUDDY
BTW, HONGERENI NAONA MMEMUOGESHA MTOTO (CHELSEA) KIBARAZANI LEO
Nimekutana na hii clip nadhani it says it all. People don't know what they want in relationships. Na wataalamu wanasema go for priority not preference. Sijuhi wana maana gani naendelea kutafakari. Click below; it is interesting clip
Let's Talk About Love: Why Do Women Date Bad Boys?
Mbu
i have a naive philosophy when it comes to type za watu wa kuwa na ex- and then ex- and then new one and then all grouped into one pot!! 99% of time huyo mtu anakua hajaamua anataka nini. it is different from one asking (one thread brought by MJ1, kuhusu mshefa, where the lady knows what she want, a husband back)....
Type ya huyo mdada ni opportunistic, and i have three reasonsshe passes all three!!!
- one, opportunists always play victim
- opportunists never cut ties, wanaweka akiba ya kesho
- opportunists dont make firm decisions
Now coming to the abuse, they say once beaten twice shy.... is it her bad choices?? it that she is very unlucky?? [someone else star]?, or is it she is the precursor of those abuses?? or probably everyman is abusive??
My advice kwake sina, coz wanawake wa namna hiyo hata uwashauri vipi, they will go back behind your back and do exactly opposite the advice... its from experience mkuu naongea haya. nina ndugu, nina rafiki nk. and i can affirm by just looking at the comment kwamba huyu bwana wa tatu ni ok tu, maa'an, in love there is no ok, there is super, brilliant, perfect, hot etc. it shows she is not fully excited and too bad for the dude
I betcha she secret;ly spend time with the others (intimate) and the new guy ni insurance policy tu, and if we give her one year, she will come back with teh same story kwamba na huyu wa tatu ni abusive
THOSE ARE MY SENTIMENTS AND BY NO MEANS I DONT LIKE THE GIRL, BUT I AM JUST HITTING THE CORE/NUCLEUS... THE BEST WAY TO CHANGE THE WORLD IS TO BE THE CHANGE YOU WANT TO SEE, I DONT SEE IT THERE BUDDY
BTW, HONGERENI NAONA MMEMUOGESHA MTOTO (CHELSEA) KIBARAZANI LEO
Napita tu nimekosea jukwaa
Hah mbona unajiaminisha hivi Mbu? Would she reveal her JF ID to you? lol
...hapana, ni mwenzangu kazini...
angekuwa jf member ningemuachia aucheze mwenyewe mpira na maelezo mengi.
Dah Mbu hiuyu mdada ppengine tunawezasema anachanganywa na mambo mengi; kwa mtazamo wangu
...what if?....maana kwa maelezo yake nilivyomuelewa, namuona kana kwamba kuna udhaifu wake anaoujutia
ambao (japo hakutaka kunifafanulia) anaamini angeujua na kuusahihisha hapo awali, labda wasingefikia huko...
mind you,...anawafahamu vizuri sana hao walitangulia kuliko aliyenaye sasa...
mapenzi ambayo sio serious kivile kama hao waliotangulia.
...aiiiii? ati naive?...hapana kamanda mkuu...
umetoa nasaha nzuri sana hapa.
ila mwenzenu na shida sana na kukubaliana na mtizamo huu kama wa kwako,
kwani akili yangu hii ya kuunga unga na kuongezewa na ya kuchangiwa...inaniambia
tabia na maamuzi ya mtu yanakuwa influenced na malezi na makuzi yake.
mtu wa aina hii sipendi kumhukumu kwamba ati hana msimamo, bali naamini with time and support
atajijengea confidence ya kuwa na msimamo wake thabiti.
mara nyingi mtu wa aina hii huwa hajiamini amini, anajali zaidi watu wanamshauri nini kuliko mwenyewe ana
uamuzi gani.
ninaposema hivi hata mimi kufikia kumtafutia jibu muafaka wikiendi hii, ni kwasababu namjali naye naamini ananisikiliza
sana ushauri wangu. kumwacha apotee tu hivi hivi kwakuwa labda sio muaminifu itakuwa kana kwamba nimejikubalisha kushindwa kumsaidia kiumbe mmoja huyu ambaye kaacha wote anaofahamiana nao na kuja kuomba ushauri kwangu..
Hah mbona unajiaminisha hivi Mbu? Would she reveal her JF ID to you? lol
My two cents:
Kusema ukweli huyo mdada anawezakuwa kwenye wakati mgumu si kwa sababu ni dhaifu bali pengine kwa kuwa hana msaada wa kutiwa nguvu. KWa sababu gani ninasema hivi ni kuwa kama aliweza kuwalk out from the abusive relationship in the first place, she is brave and all she need is just an encouragement kuwa what she did was right and kuwa she didnt deserve any abuses she received.
Ingewezekana kuwa karibu na huyo Mpenzi wake mpya ukamshauri awe anamtia nguvu, moyo na kumwonyesha kuwa bado duniani wapo wanaomvalue huyo mdada, duniani hakuna wanaume hao wa kwake tu (That is if naye huyu anampenda kiukweli and he is ready to make her catch up the love and happiness she misses huko nyuma).
La sivyo akisema arudi kwa any of the two guys itakula kwake mazima na pia itamfanya aishi na picha ambayo si sawa juu ya wanaume wote..including wewe mtoa ushauri.
Mpe both pros na cons za kurudi kwa ma-abusers na mtie moyo kuwa maisha ni kutake risks kwani wasotake risks huwa nyuma mara nyingi. (I believe kuwa she knows this just that may be she isnt get enough encouragement.
...umeichambua vizuri Lizzy,....
unajua, hata kwangu mimi huo msemo wa "better the devil you know, ...." wakati anasisitiza abuses kwenye past relationship, ndio zilizonifelisha mtihani huu mbu mie...
kwa mtazamo wangu, kuna weakness yake/zake ambazo anajikubalisha kwa "zimwi limjualo..." ambaye angalau wanaweza kukaa chini na kuya address matatizo yao, kuliko hizo "excess baggages" kuhama nazo kwa huyu ambaye bado hajaji commit naye 100%...au?
ati???Hah mbona unajiaminisha hivi Mbu? Would she reveal her JF ID to you? lol
My two cents:
Kusema ukweli huyo mdada anawezakuwa kwenye wakati mgumu si kwa sababu ni dhaifu bali pengine kwa kuwa hana msaada wa kutiwa nguvu. KWa sababu gani ninasema hivi ni kuwa kama aliweza kuwalk out from the abusive relationship in the first place, she is brave and all she need is just an encouragement kuwa what she did was right and kuwa she didnt deserve any abuses she received.
Ingewezekana kuwa karibu na huyo Mpenzi wake mpya ukamshauri awe anamtia nguvu, moyo na kumwonyesha kuwa bado duniani wapo wanaomvalue huyo mdada, duniani hakuna wanaume hao wa kwake tu (That is if naye huyu anampenda kiukweli and he is ready to make her catch up the love and happiness she misses huko nyuma).
La sivyo akisema arudi kwa any of the two guys itakula kwake mazima na pia itamfanya aishi na picha ambayo si sawa juu ya wanaume wote..including wewe mtoa ushauri.
Mpe both pros na cons za kurudi kwa ma-abusers na mtie moyo kuwa maisha ni kutake risks kwani wasotake risks huwa nyuma mara nyingi. (I believe kuwa she knows this just that may be she isnt get enough encouragement.
...khaaa, soulmate ulifichwa wapi nawe toka jana...lol!...
karibu tena jf....nimefurahi kukusoma, ila niruhusu nikuhakikishie
hana id jf, na wala haielewi lugha hii ya kimrima!
umesema vyema, labda kinachokosekana ni nguvu za ziada toka kwa mwenza
mpya, kiasi cha mdada kujiona mapenzi ya awali yalikuwa moto zaidi. I wish,
kama ulivyosema...kujaribu mshawishi huyo bwana aongeze moto...lakini mnh,
kwanza sifahamiani nae, pili atanishangaa nimeyajuaje haya, na mwisho wivu wetu wa'ume...
tena hawa wenzetu mnh!
anyway, kwa mtazamo wako mwj1 unaamini anahitajika kutiwa moyo zaidi?....ok,
kidogo kidogo napata picha kwanini mdada huyo kwasasa anajiona yupo njia panda.
And can you do the same kwamba hajakata??? Hebu kaka stop blaming teh victim ichambue hii issue kwa kuangalia pande zote mbili kwa mizani sawa.ati???
can you confidently tell me kwamba huyo amekata ties na hao wa zamani? or do you sense enthusiasm kwa huyo mpya??
hebu ngoja niende zangu kunyoosha viungo mie naona kizunguzungu tu
true mbu... hata kukosa maamuzi yawezekana ni malezi, ni opportunism au risk avoidance
to be honest, if there were two guys ningeelewa, ilakini watatu?? tena ana track records kabisa kwamba huyu hajaoa tena, huyu ananiconvince, na huyu vilevile na huyu mpya yuko ok... no thanks bro!!! Someone is on metro line tena central Piccadilly line
Mie ni msimamo wangu na ningependa with MJ1 neing a good researcher and you being a good writer with our lawyer klorokwin tufanye cohort even monitoring hepo baada ya mwaka unaniambia kapiga 350 degrees and the circus continues
I BET MY NUTS ON THAT ONE
Alafu Mbu tukiachilia swala la yupi anamfaa...yupi hatomla akammaliza yeye kama yeye ANAMPENDA YUPI?? Yani bila kujali manyanyaso..kutokujua ya mbeleni anampenda yupi?
...hahahahaha....dahhh maazee umeyachota mawazo yangu ukanipeleka hukooo oxford circus, via piccadilly circus kuelekea charing cross, leicester square au green park!----ZONE 1 hiyo dahhhhhhh!....long tym...
anyway....nakusikiliza maushauri yako mkuu, najifunza kitu kipya kabisa hapa, au sijui unanikumbusha? maana kwa sinema yangu
ilivyokuwa, starring, co starring na stuntman wote walikufa!
namsubiria mwj1 na klorokwini walete ufunuo zaidi hapa, maana Lizzy chauro na nyumba kubwa kama weshahitimisha vile...
Nikiendelea kuamini anavyoamini MTM; mheshimiwa Mbu bado unaweza kumsaidia kwa ushauri huyu mdada; though swali laweza kuwa "amwache yupi?' though wewe amekuuliza "achague yupi?". These are similar but different questions but the answer can address both of them.
upo sawa kabisa....imeniwia ngumu kwangu mimi kwani hata thread ya misukule niliwahi kuanzisha juu ya hili...
mkuu sizinga, kati ya hao watatu wote wana nafasi zao tofauti kwa huyu mdada....
"amepoteza uwezo wa kuamua!" ndio maana anataka ushauri kwangu.
...aisee usilewe kwanza....
unasema, amshikilie huyu wa tatu ambaye labda bado hajaona makucha ya huyu dada ambayo
mwenyewe anajionea ni bora wale wanaomjua? aisee...hii sredi ngumu kwangu...!