Maamuzi magumu

Unapiga tu halafu unateka unachukua mwili wake ufanye ubaharia ,kwenye vita ni ukatili tu
 
Cha msingi Ni kufanya kilicho kuleta, eneo husika, vinginevyo utaku umekiuka miko, ya ukomando unakua Ni kibaka
 
namtwanga risasi za mikono fasta ashindwe kutumia silaha then naenda kumpa huduma ya kwanza....
 
Bodyguard wa Khadaffi walikua ni wanawake tu na walikua makatili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…